Chuo cha Sokoine (SUA) chashika namba moja Tanzania (Citations)

Hospitali kazi yake ni kutibu mkuu,tafiti zao ni fupi tu kujua kama una kipindupindu ama la wakupe mwarobaini
Mkuu hivyo ni vyuo vikuu,ndio maana nikavitaja hapo.Sijavitaja bure,hivyo vina wajibu wa kufanya tafiti ili kupata suluhu ya Corona.
 
Kwanini hivyo vyuo vingine visiwe bora kwenye Kozi zao?

Unapoongela ubora wa kozi na Upana wa kozi ni vitu viwili tofauti na ni kwa jinsi gani inagusa jamii.

Bsc of Agricalture vs Bsc of Civil, kozi yenye nyanja nyingi za research zinazogusa jamii moja kwa moja ni Kilimo

Mfano
Research

Climate changes vs how it affects Agricalture

Climate changea vs how it affects Civil project.

Ndio maana hadindunia itaisha kiutafiti haitakuja kutokea Ardhi ikakaa Juu ya SUA
 
Kweli upo sahihi,Kilimo ni kitu mtambuka,kinagusa kila sekta, kwasababu ndio uhai wenyewe.
 
Nyie madogo mkitokaga na hizo bla bla huko ndio mnakuja kusumbua hakuna kazi, just do what's yours guy. Chuo kishike namba kisishike we soma maliza focus kwenye life yako.. watu hata shule hawajaenda wanasukuma life za maana nyie ni kukomaa na university rankings. Why should you care anyways?
Naona umeamua kumshushia tofali mkuu
 
Sorry mkuu, nimemnukuu profesa kabudi! Kama hujui kabudi kasoma pale na kufundisha pia, nadhani ametumia zaidi ya miaka 30 akiwa pale! sasa sio mtu wa kumdharau, analosema lina uzito hata when it comes to "pale".
Huyo kabudi ana tatzo lake binafsi hapo sehemu anapo paita hivyo. Wala hakuna lolote analo maanisha.
 
Watu wagumu sana aisee[emoji1787]
Halafu wabishi..yaani wabongo bwana[emoji23][emoji119]
Mimi sishangai maana T.O tu walimpinga.

Ila tuseme tu ukweli,SUA wapo vizuri sana.
Yes wako vizuri mno.
 
Moja kati ya kazi kuu za chuo chochote duniani ni TAFITI.

Chuo chochote hapa duniani kitaonekana bora kama kina wana sayansi (academicians) bora walio tuliza akili na kuandaa tafiti na ku publish tafiti zao kwenye juornal za kitaifa na kimataifa!

Kwa kuongoza kwenye citation ni ishara wazi kwamba SUA wana wanasayansi wanao fanya tafiti zenye tija duniani!

Na hii ndio sababu kuu wamekamata namba moja Tanzania!

Wakati madokta na maprofesa wa vyuo vingine wakitumia muda mwingi kuunga juhudi na kupiga siasa, hali ni tofauti kwa SUA!

Mimi kama Mtanzania mzalendo nachukua nafasi hii kukipongeza chuo kikuu cha kilimo Sokoine kwa hatua hii!!

Webometrics Ranking: Sokoine University of Agriculture ranked first place in citations

TRANSPARENT RANKING: Top Universities by Citations in Top Google Scholar profiles | Ranking Web of Universities: Webometrics ranks 30000 institutions

View attachment 1709313
Watu mnasema tu, kwamba SUA hakuna kitu kinafanyika, na hamjui hata kinachofanyika SUA : (mfano. tu Hivi mnajua Faida ya "kinga njaa project" au ndio mmetokea town afuunaona ushujaa ku post na kuponda vitu?? HAKUNA MKULIMA HAPA TANZANIA AMBAE HAJANUFAIKA NA RESEARCH ZA SUA.... Iwe ni wa misitu, mbogamboga, matunda, viungo, maua n.k Kamuulize bibi yako iringa huko, nini maana ya kinga njaa, atakwambia na faida zake... then urudi u comment ujinga
 
wanafanya tafiti,za ku gain publicity na sio productivity.naweza kutumia lugha hiyo.maana hatuoni hizo tafiti zikiwafikia wananchi huku chini,tafiti ambazo zinawekwa tu kwenye mafail Basi ,badala ya kuzisambaza kwa wanufaika.

SUAwamegundua tafiti nyingi lakini zinabaki maktaba tu,hazitoki nje,na hiyo ndo kero kubwa kwa Hawa watafiti wetu. Hawana hata exra strategy za kuzifanya tafiti zao ziwafikie walengwa na sio kuwafikia tu bali zitoe impact.
Watu mnasema tu, kwamba SUA hakuna kitu kinafanyika, na hamjui hata kinachofanyika SUA : (mfano. tu Hivi mnajua Faida ya "kinga njaa project" au ndio mmetokea town afuunaona ushujaa ku post na kuponda vitu?? HAKUNA MKULIMA HAPA TANZANIA AMBAE HAJANUFAIKA NA RESEARCH ZA SUA.... Iwe ni wa misitu, mbogamboga, matunda, viungo, maua n.k Kamuulize bibi yako iringa huko, nini maana ya kinga njaa, atakwambia na faida zake... then urudi u comment ujinga
 
SUA hakuna lolote,tafiti na citation ila maeneo yapo useless na hakuna kilimo wala ufugaji wa maana;
chuo dhaifu sana kile
Watu mnasema tu, kwamba SUA hakuna kitu kinafanyika, na hamjui hata kinachofanyika SUA : (mfano. tu Hivi mnajua Faida ya "kinga njaa project" au ndio mmetokea town afuunaona ushujaa ku post na kuponda vitu?? HAKUNA MKULIMA HAPA TANZANIA AMBAE HAJANUFAIKA NA RESEARCH ZA SUA.... Iwe ni wa misitu, mbogamboga, matunda, viungo, maua n.k Kamuulize bibi yako iringa huko, nini maana ya kinga njaa, atakwambia na faida zake... then urudi u comment ujinga
 
Mbona hizo tafiti hatuzioni kwenye kutatua changamoto za kila siku za wananchi, kwenye statitistics Tz tuko safi ila practically impact Zero, Mwaka unaisha husikie uvumbuzi wowote kutoka katika hivyo vyuo.
Hao waliotoa hizo ranking ni kwa mujibu wa idadi ya tafiti na machapisho yaliyonukuliwa kwa matumizi mbalimbali ikiwemo kutatua changamoto mbalimbali
 
Watu mnasema tu, kwamba SUA hakuna kitu kinafanyika, na hamjui hata kinachofanyika SUA : (mfano. tu Hivi mnajua Faida ya "kinga njaa project" au ndio mmetokea town afuunaona ushujaa ku post na kuponda vitu?? HAKUNA MKULIMA HAPA TANZANIA AMBAE HAJANUFAIKA NA RESEARCH ZA SUA.... Iwe ni wa misitu, mbogamboga, matunda, viungo, maua n.k Kamuulize bibi yako iringa huko, nini maana ya kinga njaa, atakwambia na faida zake... then urudi u comment ujinga
🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Hivi kwenye kumtokomeza huyu mnyama covid 19, hicho chuo kina mchango gani
Chuo kinamchango mkubwa sana: chuo kimetengeneza dawa similar to NIMRICAF, chuo kinauziefu wa kutengeneza vaccines---- kumbuka kuwa hata serikali ilipounda timu ya wataalam kuchunguza vipimo na upimaji wa covid asilimia kubwa walitoka kwenye chuo hicho
 
Mbona hizo tafiti hatuzioni kwenye kutatua changamoto za kila siku za wananchi, kwenye statitistics Tz tuko safi ila practically impact Zero, Mwaka unaisha husikie uvumbuzi wowote kutoka katika hivyo vyuo.
Hili ndilo tatizo kubwa la Universities zetu, ikiwemo SUA, mara ya mwisho nilisikia ugunduzi wa mbegu bora ya maharage uliofanywa na yule Dr mwanamke ilikuwa 20 years ago. Ni chuo cha Kilimo but huwezi sikia wamegundua breeds bora za mbegu za mazao, breeds bora za wanyama au hata tree breeding. Hapa nchini Kuna tatizo kubwa sana kwa wakulima kutojua soil nutrients status and recommended crops, wameshindwa Kuja na cheap ways of soil testing...
 
Moja kati ya kazi kuu za chuo chochote duniani ni TAFITI.

Chuo chochote hapa duniani kitaonekana bora kama kina wana sayansi (academicians) bora walio tuliza akili na kuandaa tafiti na ku publish tafiti zao kwenye juornal za kitaifa na kimataifa!

Kwa kuongoza kwenye citation ni ishara wazi kwamba SUA wana wanasayansi wanao fanya tafiti zenye tija duniani!

Na hii ndio sababu kuu wamekamata namba moja Tanzania!

Wakati madokta na maprofesa wa vyuo vingine wakitumia muda mwingi kuunga juhudi na kupiga siasa, hali ni tofauti kwa SUA!

Mimi kama Mtanzania mzalendo nachukua nafasi hii kukipongeza chuo kikuu cha kilimo Sokoine kwa hatua hii!!

Webometrics Ranking: Sokoine University of Agriculture ranked first place in citations

TRANSPARENT RANKING: Top Universities by Citations in Top Google Scholar profiles | Ranking Web of Universities: Webometrics ranks 30000 institutions

View attachment 1709313
Asante sana mkuu kwa uzi huu mujarabu kuhusu chuo changu pendwa SUA. Ubarikiwe sana.
 
Naona chuo cha Kata (UDOM) kimeshika nafasi ya mwisho kabisa aisee. Kinatia huruma sana 😳 😳 😳
 
Hili ndilo tatizo kubwa la Universities zetu, ikiwemo SUA, mara ya mwisho nilisikia ugunduzi wa mbegu bora ya maharage uliofanywa na yule Dr mwanamke ilikuwa 20 years ago. Ni chuo cha Kilimo but huwezi sikia wamegundua breeds bora za mbegu za mazao, breeds bora za wanyama au hata tree breeding. Hapa nchini Kuna tatizo kubwa sana kwa wakulima kutojua soil nutrients status and recommended crops, wameshindwa Kuja na cheap ways of soil testing...
Mkuu, Acha uongo.Mimi ni graduate wa SUA na nilifanya research ya Bean Varieties, Aisee pale SUA kuna mbegu kibao tu za mazao wamezizalisha,sema wewe hujui.Kwa mujibu wa Sheria ya mbegu ktk Nchi yetu ya Tanzania mwenye mamlaka ya kuitangaza mbegu sio Watafiti (Researchers) Bali ni Agriculture Seed Agency (ASA), wakati TOSCI (Tanzania Official Seed Certification Institute)wao wanahakiki ubora wa Mbegu;Kwa hiyo unaweza usione Mchango wa Chuo kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo kwasababu hufuatilii kwa Karibu Nini kinafanyika,pili SUA haitangazi Variety za Mbegu bora za mazao mbalimbali kwasababu Sheria haielekezi hivyo.SUA wamezalisha Mbegu zenye ukinzani kwenye Magonjwa mfano mbegu ya Maharage ya SUA 90.Wamezalisha mbegu fupi ya papai inayozaa Sana na Kwa muda mfupi.Kwa ufupi tu SUA kuna mbegu nyingi za kisasa wamezizalisha lkn huwezi kujua kwasababu mwenye wajibu kisheria kuzitangaza sio yeye ni ASA.Rafiki nikuombe kabla ya kulaumu hebu tembelea maonyesho ya Mwezi wa nne pale SUA, kuanzia tarehe 12 mwezi April maarufu km maonyesho ya Sokoine, ujionee ugunduzi walioufanya SUA,au nenda maonyesho ya nane nane kule Morogoro, Kwenye banda la SUA ujionee Mambo.
 
Back
Top Bottom