KERO Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa

KERO Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka ya chooni kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa.

Ukipita ukielekea maeneo ya Lukobe ni harufu tupu, je angekuwa mtu binafsi angeruhusiwa kufanya hivi?

Mamlaka husika zichukue hatua.
 
Ukistaajabu ya UDOM utakutana na ya SUA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiki chuo cha SUA ni mojawapo ya vile vyuo bora kabisa kwa hapa nchini

Aisee chuo bora kabisa kilichojaa wasomi kinatiririsha ..... Mtaani
Hicho chuo ningekuwa nakimiliki ata mimi kisingekuwa kinatiririsha kinyesi mtaani.
 
Back
Top Bottom