A Anonymous Guest May 21, 2024 #1 Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka ya chooni kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa. Ukipita ukielekea maeneo ya Lukobe ni harufu tupu, je angekuwa mtu binafsi angeruhusiwa kufanya hivi? Mamlaka husika zichukue hatua.
Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka ya chooni kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa. Ukipita ukielekea maeneo ya Lukobe ni harufu tupu, je angekuwa mtu binafsi angeruhusiwa kufanya hivi? Mamlaka husika zichukue hatua.
Uhakiki JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,288 Reaction score 7,704 May 21, 2024 #2 Inasikitisha sana
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 May 21, 2024 #3 Ukistaajabu ya UDOM utakutana na ya SUA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 May 21, 2024 #4 Picha??
Uhakiki JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,288 Reaction score 7,704 May 22, 2024 #5 cocastic said: Ukistaajabu ya UDOM utakutana na ya SUA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Vyuo vyote vinanuka sasa[emoji23] [emoji23]
cocastic said: Ukistaajabu ya UDOM utakutana na ya SUA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Vyuo vyote vinanuka sasa[emoji23] [emoji23]
std7 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 2,293 Reaction score 3,928 May 22, 2024 #6 Hiki chuo cha SUA ni mojawapo ya vile vyuo bora kabisa kwa hapa nchini Aisee chuo bora kabisa kilichojaa wasomi kinatiririsha ..... Mtaani Hicho chuo ningekuwa nakimiliki ata mimi kisingekuwa kinatiririsha kinyesi mtaani.
Hiki chuo cha SUA ni mojawapo ya vile vyuo bora kabisa kwa hapa nchini Aisee chuo bora kabisa kilichojaa wasomi kinatiririsha ..... Mtaani Hicho chuo ningekuwa nakimiliki ata mimi kisingekuwa kinatiririsha kinyesi mtaani.
begi la pesa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2019 Posts 1,124 Reaction score 1,946 May 22, 2024 #7 inaonaonekana wana phd ya kunya na kuharisha sana
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 May 22, 2024 #8 std7 said: Hiki chuo cha SUA ni mojawapo ya vile vyuo bora kabisa kwa hapa nchini Aisee chuo bora kabisa kilichojaa wasomi kinatiriri ..... Mtaani Hicho chuo ningekuwa nakimiliki ata kisingekuwa kinatiririsha kinyesi mtaani. Click to expand... Cc : The Spirit of Tanzania
std7 said: Hiki chuo cha SUA ni mojawapo ya vile vyuo bora kabisa kwa hapa nchini Aisee chuo bora kabisa kilichojaa wasomi kinatiriri ..... Mtaani Hicho chuo ningekuwa nakimiliki ata kisingekuwa kinatiririsha kinyesi mtaani. Click to expand... Cc : The Spirit of Tanzania