A
Anonymous
Guest
Hakuna chuo ambacho walimu ni Mungu watu kama Tabora Polytechnic college kuna madudu mengi yanafanyika hapa hasa kwenye ngazi ya Famasi Diploma mfano kuna mwalimu style yake aisee hapana inabidi achukuliwe hatua. Unakuta mwalimu anatumia lugha mbaya sana darasani mfano anamwambia mwanafunzi wa kike "Unarembua utafikiri umeona DU", "wewe unaeongea hapo una nyege? "
Ukimjibu kesi anatoa adhabu ya kuleta ream huna anakutoa kwenye kipindi chake, licha ya uchumi kutofautiana na ada ya chuo kuwa kubwa lakini haimzuii mungu mtu huyu kutawala na kutunyanyasa kana kwamba tumefanya dhambi.
Hakuna mwanafunzi ambaye hajutii kuja kwenye hichi chuo hasa kutokana na utawala wa mabavu wa dikteta. Naomba mamlaka zinazohusika zichunguze chuo hiki maana tunanyanyasika sana na tunajuta kusoma hapa.