A
Hajielewi msamehe mkuuUnajiita anonymous halafu unaleta uzi wa malalamiko, unaogopa kutaja Jina la Mwalimu husika. Mtaje jina na cheo chake, Mamlaka zita mshughulikia. Sasa ukimficha watamchunguzaje, au unataka kichunguzwe chuo chote?
Lazima kamaanisha SimbaUnajiita anonymous halafu unaleta uzi wa malalamiko, unaogopa kutaja Jina la Mwalimu husika. Mtaje jina na cheo chake, Mamlaka zita mshughulikia. Sasa ukimficha watamchunguzaje, au unataka kichunguzwe chuo chote?
Huyo mwalimu anaitwa Simba juzi yani anatukana sana hasa watoto wa kikeUnajiita anonymous halafu unaleta uzi wa malalamiko, unaogopa kutaja Jina la Mwalimu husika. Mtaje jina na cheo chake, Mamlaka zita mshughulikia. Sasa ukimficha watamchunguzaje, au unataka kichunguzwe chuo chote?
Mzigo wa mwenzio ni ukanda wa usufiHadi vyuo vikuu kuna wahadhili wababe ambao wanasaidia kuweka chuo kwenye msatari, sasa huko ambako kumejaa form four leaver ambao wengi wako under 19, ukiwaacha mjiendee mtakavyo, chuo kitayumba.
Ningeshangaa na kuhuzunika kama ungesema kuna walimu wanatembea na wanachuo, ukiwakatalia wanakuwekea zengwe ili uvute pumzi ya mto, ila huko kurembua rembua macho pengine ili umtege aiingie 18 zako unaona ni shida mkikaripiwa?.
Kweli nyie ni watoto wa mama Kizimkazi.