Chuo cha tropical Arusha kiko vipi?

Chuo cha tropical Arusha kiko vipi?

MARCKO

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
2,258
Reaction score
275
Poleni na maisha magumu wandugu!
Naomba kufahamishwa hadhi ya chuo cha Tropical Arusha, kilichopo chini kidogo ya Clock Tower kuelekea Kijenge.
Je, ni vya uswazi au?
Je, kimesajiliwa?
Je, kinaweza msababishia muhitimu kupata kazi?

Ahsante!
 
Maisha magumu?!!!nani kasema wote wanamaisha magumu!
 
Poleni na maisha magumu wandugu!
Naomba kufahamishwa hadhi ya chuo cha Tropical Arusha, kilichopo chini kidogo ya Clock Tower kuelekea Kijenge.
Je, ni vya uswazi au?
Je, kimesajiliwa?
Je, kinaweza msababishia muhitimu kupata kazi?

Ahsante!

Wewe kwa nini usiende hapo chuoni ukachukua details zao........?.......au ukagoogle........mbona rahisi tu.........
 
Back
Top Bottom