Chuo cha Ualimu BUTIMBA chashindwa kuwapatia hela ya vifaa wanachuo wa mwaka wa 1 na 2 (2012-2013)

Chuo cha Ualimu BUTIMBA chashindwa kuwapatia hela ya vifaa wanachuo wa mwaka wa 1 na 2 (2012-2013)

SIRKIGO

New Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
2
Reaction score
1
Katika hali ya kusikitisha sisi wanachuo wa chuo cha Butimba TTC Tumenyimwa hela kwa ajili ya kununulia vifaa kwenye Mafunzo kwa vitendo(BTP).Pesa tayari zilikuwa zimeshatolewa na wizara ya elimu na kila tunapofuatilia tunatishiwa kufukuzwa chuo.Wenzetu wa mwaka wa 2 kipindi wanaondoka hawakuambiwa juu ya uwepo wa pesa hizo kiasi cha kutufanya tuamini hatutopewa pesa hiyo.Na hivyo ndivyo ilivyokuwa mpaka tunaondoka hatukupewa kabisa. Sisi wanachuo tunamuomba waziri mwenye dhamana na wizara ya Elimu atusaidie kupata hela zetu kwa ajili ya kununulia vifaa kwa ajili ya kufundishia
 
You cant change Butimba, but, Butimba will change you
 
Back
Top Bottom