Chuo cha ualimu Mamire

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
1,104
Reaction score
251
Nasikia kuna chuo cha ualimu kimeanzishwa na wazungu huko Mamire - Manyara kinaitwa Mamire TTC. Kwa wanaofahamu chuo hicho kinafundisha mitaala ya Tanzania au nje? Zipi ni sifa za kujiunga? Naomba wanaokifahamu wanisaidie kujibu hayo maswali na pia maelezo mengine kuhusu chuo hicho.
 
Mbona kimya! Hakuna ayekifahamu chuo hicho humu?
 
Hakuna chuo kinachoitwa MAMIRE mkoana Manyara. Kuna chuo cha VETA tu. Huko Mamire kuna wazungu wanafanya biashara ya baiskeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…