Nasikia kuna chuo cha ualimu kimeanzishwa na wazungu huko Mamire - Manyara kinaitwa Mamire TTC. Kwa wanaofahamu chuo hicho kinafundisha mitaala ya Tanzania au nje? Zipi ni sifa za kujiunga? Naomba wanaokifahamu wanisaidie kujibu hayo maswali na pia maelezo mengine kuhusu chuo hicho.