ukishuka stand ya mabasi ya msamvu ulizia daladala zilizoandikwa kihonda-mjini,panda zinazoelekea mjini,ukifika mjini panda daladala zilizoandikwa Bigwa utashukia kituo kinaitwa kola,mpk hapo utakuwa ushafika kuna bango kubwa barabarani waweza chukua pikipiki au kutembea kwa mguu,pkpk zipo hpohpo kola.