ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Wanajamvi kuna mhitimu wa chuo cha ualimu mpuguso mkoani mbeya anasema vyeti vyao vya form four na ualimu grade A vimepotea. Sasa wanatakiwa kulipa laki tano ili vikachapwe baraza tena eti watawarudishia pesa hizo wakipata.
Inasemekana mtaaluma wakati ameende kuvichukua dsm, kufika chuoni akagundua box moja lililokuwa na vyeti vya wanafunzi 80 halikuonekana. Sasa wanachuo waliofika kufuata nyaraka hizo wanaambiwa wachangie laki tano watume mtu baraza akaprint vingine.
Je kuna mtu mwenye taarifa sahihi kuhusu hili?
Je ni kweli baraza wanaprint cheti kwa laki tano?
Je ni adhabu gani huyo mtaaluma apewe?
Ntafurahi kujua zaidi maana nahisi kuibiwa.