chuo cha ualimu MPUGUSO wapoteza vyeti(academics) vya wahitimu

chuo cha ualimu MPUGUSO wapoteza vyeti(academics) vya wahitimu

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Wanajamvi kuna mhitimu wa chuo cha ualimu mpuguso mkoani mbeya anasema vyeti vyao vya form four na ualimu grade A vimepotea. Sasa wanatakiwa kulipa laki tano ili vikachapwe baraza tena eti watawarudishia pesa hizo wakipata.

Inasemekana mtaaluma wakati ameende kuvichukua dsm, kufika chuoni akagundua box moja lililokuwa na vyeti vya wanafunzi 80 halikuonekana. Sasa wanachuo waliofika kufuata nyaraka hizo wanaambiwa wachangie laki tano watume mtu baraza akaprint vingine.

Je kuna mtu mwenye taarifa sahihi kuhusu hili?
Je ni kweli baraza wanaprint cheti kwa laki tano?
Je ni adhabu gani huyo mtaaluma apewe?

Ntafurahi kujua zaidi maana nahisi kuibiwa.
 
Watalam eneo hili wapi? Mlioko baraza njooni mtupe ufafanuzi tagadhali
 
Kuna ukwel kuhusiana na hilo? coz npo maeneo ya mpuguso now! na niwanachuo wa mwaka gan? mm bado cjachukua result sleep wachen ku2pen pressure!.....
 
Kuna ukwel kuhusiana na hilo? coz npo maeneo ya mpuguso now! na niwanachuo wa mwaka gan? mm bado cjachukua result sleep wachen ku2pen pressure!.....

mkubwa hebu fuatilia kwa umakini kwa sababu nahisi dogo anataka kuwaibia wazazi
 
Apo kuna uwizi unataka kufanyika, kwa mimi ninavyojua NECTA huwa hawatoi cheti mara mbili kiwe kimepotea au kimeungua, zaidi zaidi kwa kukusaidia utapewa statment of result uwe unatumia pindi cheti chako kikihitajika, nayo utapewa endapo umeshatoa taarifa polisi na umetangaza kwenye gazeti kwamba umepotelewa na cheti, zaidi ya hapo umeliwa mkuu!
 
yeah, kamaliza 2012

plz naomba uni pm namba yako 2wasiliane ingawa cpo chuon but npo krb na chuo, nakama kahtimu 2012 c tayari alpewa vyeti vyote coz mm navofahamu kwa mpuguso uwezi kuchukua result sleep bila ya vyeti vyako vya 4m4(unachukua kwa pamoja) na kwa 2012 Hao walsha ajiriwa mapema
 
Back
Top Bottom