Wapi unafungulia?Wakuu habari za jioni?naombeni ushauri nataka kufungua chuo cha udereva,
Naomba mwenye uzoefu na hii biashara na changamoto zake wakuu?
Nawasilisha
Kweli mkuu angetaja location pia Ina matter.Wapi unafungulia?
Ni hapa Dar mkuu ila nilifanya survey kidogo nikaona hapa mjini demand ni kubwa pia wadau wananunua sana magari kwa matumizi yao binafsi na wachache kwaajili ya kuajiriwaKweli mkuu angetaja location pia Ina matter.
Maana mfano kwa Dar es salaam ukianzisha hyo huwez kutoboa labda mikoani Kama Singida,Tabora na mfano wa mikoa mingine Kama hyo.
Ila kwa Dar vipo vingi sana na bado watu wanachagua vyuo vinavyoaminika Kama Veta na Nit
Labda pembezoni ya mji sehem Kama kibamba/kiluvya,gongolamboto/pugu/chanika/,boko/bunju,kongowe/mwandege sehem ambapo mtu ataona uvivu kwenda kwenye vyuo vya Veta kutokana na umbali.Ni hapa Dar mkuu ila nilifanya survey kidogo nikaona hapa mjini demand ni kubwa pia wadau wananunua sana magari kwa matumizi yao binafsi na wachache kwaajili ya kuajiriwa