Chuo cha udereva ushauri

Chuo cha udereva ushauri

Tractor

Member
Joined
May 23, 2019
Posts
81
Reaction score
110
Wakuu habari za jioni?naombeni ushauri nataka kufungua chuo cha udereva,
Naomba mwenye uzoefu na hii biashara na changamoto zake wakuu?
Nawasilisha
 
Wapi unafungulia?
 
Wapi unafungulia?
Kweli mkuu angetaja location pia Ina matter.
Maana mfano kwa Dar es salaam ukianzisha hyo huwez kutoboa labda mikoani Kama Singida,Tabora na mfano wa mikoa mingine Kama hyo.
Ila kwa Dar vipo vingi sana na bado watu wanachagua vyuo vinavyoaminika Kama Veta na Nit
 
Ni hapa Dar mkuu ila nilifanya survey kidogo nikaona hapa mjini demand ni kubwa pia wadau wananunua sana magari kwa matumizi yao binafsi na wachache kwaajili ya kuajiriwa
 
Labda pembezoni ya mji sehem Kama kibamba/kiluvya,gongolamboto/pugu/chanika/,boko/bunju,kongowe/mwandege sehem ambapo mtu ataona uvivu kwenda kwenye vyuo vya Veta kutokana na umbali.
 
Back
Top Bottom