soldier MAN
Member
- May 13, 2024
- 83
- 173
Nataka uhakikaMsomi mzima kabisa huelewi hapo wamemaanisha nini, Aisee.
Uhakika Wa nini hapo wakati maelezo yamejitosheleza😅Nataka uhakika
Jamaa yangu achana na chuo kwanza rudia form one ili utoke umeiva vizuri maana kwa jinsi hiyo unaenda kufaulu tu huko chuo! ila utakuja kuwa mtu wa hovyo huwezi amini 🫢🫢 sio kwa ubaya lakini nakushauri tu!Nataka uhakika
Màjibu yatatokaliniMaombi yako wameyapokea.
Gen Z huyo,ufaulu mkubwa ila uelewa wa kawaidaMsomi mzima kabisa huelewi hapo wamemaanisha nini, Aisee.