Putin95
Member
- May 23, 2022
- 10
- 10
Yani ndugu zangu mimi ni mmoja wa waathirika wa uhujumu na ukosefu wa uadilifu na ubora wa elimu katika chuo cha udaktari kilicho anzishwa na UDSM wote tutakubaliana kwamba, kwa udaktari unatolewa ktika vyuo vya serikali unachangamoto ila kwa mchas imedhidi mpaka watu wanaamua kuacha au kutohudhuria kabisa katika klinical rotation na hata kwa wanaokuja intern wajihadhari kwa hospitali ya rufaa Mbeya(mzrh) kitengo cha watoto ni zaidi ya hatari.
Nadhani mpka mkurugenzi wa hospital na chuo pia kishawaandikia barua lakini hawajawahi badirika mfano.
Mtu unaingia kuassesiwa na chief unaambiwa embu toka kavue pete ya ndoa urudi nani amekwambia anataka ajue umeolewa, piah huulizwi guidelines ni majungu na makasiriko mda wote unapokua kwao, kibaya zaidi machief wenyewe hawafundishi wala kupita round na akipita registerer kama esha utapenda anakwambia eti stupor ni state ambayo mgonjwa yupo comfused, like serious na ndo anakuja kukuassess unajibu unaambiwa kwanini ufikie hio diagnosis wew si student. Yani unaweza sifiwa ukitiwa nyavu.
Tumepambana mpka mwisho wamebadili maprincipal ila huku chini ni uozo na ukiebda kuweeleza eti kalalamike kwa mkuu wa kitengo husika, kati yeye ndo anakusimamia clinical.
Ombi na angalizo: wazazi acheni na msithubutu kupeleka watoto wenu pale watapotea na vi GPA na macarry over yakutosha ilihali mtoto ako alikua best student uko advence au olevel na itamuwia vigumu kutoboa katika soko la ajira au kwenda kujiendeleza masters nk.
Chuo sio chuo kama mnavyo nadiwa huko nnje huku ni genge baya na linaendeshwa kiholela na watu wanojali maslai yao kama kulipwa hela za kusimamia carry over.