Benno Bongo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 620
- 704
Ila kozi za afya zina figisu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome wew au mtoto wako atakuja akwambie.Kichwa kimejaa matope upewe tu GPA kubwa
Aloo umenikumbusha siku nimeambiwa, neno fulani mpka nikahisi chief leo kavuta, si neno lakusema hadharani kwa kweliVyuo vya Afya si mchezo, wanafunzi wengi waliopo huko wako na Stress za kufa mtu. Mkuu nenda na biti umalize, Walimu wanaofundisha vyuo vya afya kuna sehemu ya ubongo ipo na shida. Anaweza kukutamkia maneno magum alafu mbele ya mgonjwa, au kukufukuza km mbwa tu.
Ni kwasababu hatupo uko, na hatuongelei ushindani ila kama kuna dosari ni vizuri isemwe mkuu, sio kusifia tuu, mi nimetoa ili anaekuja udsm as a leader au student au taasisi zinazohusika zijaribu kuziba matundu yanayochafua elimu hii.Chuo pekee cha afya kilicho organized na huduma bora ni muhas
Wengine wote makanjanja tu
Naungana na ww kabisa.. Wasioijua medicine hawawez kukuelewa mkuu. Unakuta chief una present case kwa diagnosis fulan cha ajabu kwenye discussion anakutoa kwenye case yako kwa maswali tofauti na case unayopresentUngejua yanayojiri usingesema inawezekana umesomea muziki pale nyuma ya udbs ila huku rushwa na unyanyasaji umekithiri na hata ukilalamika hamna anaekusikiliza. Mi nimetoka vizuri ila ukiangalia majority walikua na division 1.8 mpka 1.3 na ndo best students uko walikotoka ukifika unakutana na boya mmoja ukikosa swali moja tu assessment imeishia hapo hapo na ndo ushafeli sasa ukifwata assessment sheet huyu mtu hakutakiwa afeli mana inasema discussion ya patient na question ina five marks nikikosa maximum max to deduct ni 5 kati ya 100.
Ila mzee unapigwa 10 ya 100 then unaambiwa ushafeli nenda.
Medicine huwa ni kozi ya kichawi tu.Yani ndugu zangu mimi ni mmoja wa waathirika wa uhujumu na ukosefu wa uadilifu na ubora wa elimu katika chuo cha udaktari kilicho anzishwa na UDSM wote tutakubaliana kwamba, kwa udaktari unatolewa ktika vyuo vya serikali unachangamoto ila kwa mchas imedhidi mpaka watu wanaamua kuacha au kutohudhuria kabisa katika klinical rotation na hata kwa wanaokuja intern wajihadhari kwa hospitali ya rufaa Mbeya(mzrh) kitengo cha watoto ni zaidi ya hatari.
Nadhani mpka mkurugenzi wa hospital na chuo pia kishawaandikia barua lakini hawajawahi badirika mfano.
Mtu unaingia kuassesiwa na chief unaambiwa embu toka kavue pete ya ndoa urudi nani amekwambia anataka ajue umeolewa, piah huulizwi guidelines ni majungu na makasiriko mda wote unapokua kwao, kibaya zaidi machief wenyewe hawafundishi wala kupita round na akipita registerer kama esha utapenda anakwambia eti stupor ni state ambayo mgonjwa yupo comfused, like serious na ndo anakuja kukuassess unajibu unaambiwa kwanini ufikie hio diagnosis wew si student. Yani unaweza sifiwa ukitiwa nyavu.
Tumepambana mpka mwisho wamebadili maprincipal ila huku chini ni uozo na ukiebda kuweeleza eti kalalamike kwa mkuu wa kitengo husika, kati yeye ndo anakusimamia clinical.
Ombi na angalizo: wazazi acheni na msithubutu kupeleka watoto wenu pale watapotea na vi GPA na macarry over yakutosha ilihali mtoto ako alikua best student uko advence au olevel na itamuwia vigumu kutoboa katika soko la ajira au kwenda kujiendeleza masters nk.
Chuo sio chuo kama mnavyo nadiwa huko nnje huku ni genge baya na linaendeshwa kiholela na watu wanojali maslai yao kama kulipwa hela za kusimamia carry over.
Hiyo ya kimara, sahivi inaitwa PARADIGMSUkweli ni kuwa UDSM walikurupuka kuanzisha college of Health ndio maana Magufuli alipowasha moto wakaona wakajifichie Mbeya kwakuwa wana Hospital ya Rufaa ila mimi sikuona umuhimu kabisa wa UDSM kuanzisha college ya afya wakat haijajipanga ata kutoa hiyo course na kusema ukweli kwa kipind kile vilikithiri vyuo uchwara.
Kuna kingine kiliazishwa kimara mwisho njia ya kwenda Bonyokwa ilikuwa inaitwa TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY, Tumaini Mbeya ilikuwa inachekesha eti chuo kikuu[emoji23][emoji23][emoji2223][emoji2223] daah magufuli ata kama alikosea mengine lakn alifanya vitu vya maana sana kuweka misimamo kwenye elimu.
Elimu yetu inhatibiwa na wasomi na wanasiasa.