Chuo cha UDSM-MCHAS acheni kuua ndoto za watu nakutoa GPA zisizo eleweka

Chuo pekee cha afya kilicho organized na huduma bora ni muhas

Wengine wote makanjanja tu
 
Vyuo vya Afya si mchezo, wanafunzi wengi waliopo huko wako na Stress za kufa mtu. Mkuu nenda na biti umalize, Walimu wanaofundisha vyuo vya afya kuna sehemu ya ubongo ipo na shida. Anaweza kukutamkia maneno magum alafu mbele ya mgonjwa, au kukufukuza km mbwa tu.
 
Kichwa kimejaa matope upewe tu GPA kubwa
 
Kichwa kimejaa matope upewe tu GPA kubwa
Kasome wew au mtoto wako atakuja akwambie.
Huenda o level na advance hamna mtu katika ukoonwenu alie wahi pata 1:12 na 1:7 advance na vyeti vya taaluma, isiyoshe ukute nyie ndo wale wa baed mnaonea wivu kozi nyingine sio.
Kama huna unalojua ni bora ukauliza au ukakaa kimya tukajua pakukusaidia ila makasiriko hayatokufanya uonekane brilliant.
 
Aloo umenikumbusha siku nimeambiwa, neno fulani mpka nikahisi chief leo kavuta, si neno lakusema hadharani kwa kweli
 
Chuo pekee cha afya kilicho organized na huduma bora ni muhas

Wengine wote makanjanja tu
Ni kwasababu hatupo uko, na hatuongelei ushindani ila kama kuna dosari ni vizuri isemwe mkuu, sio kusifia tuu, mi nimetoa ili anaekuja udsm as a leader au student au taasisi zinazohusika zijaribu kuziba matundu yanayochafua elimu hii.
 
Naungana na ww kabisa.. Wasioijua medicine hawawez kukuelewa mkuu. Unakuta chief una present case kwa diagnosis fulan cha ajabu kwenye discussion anakutoa kwenye case yako kwa maswali tofauti na case unayopresent
 
Medicine huwa ni kozi ya kichawi tu.
 
Hiyo ya kimara, sahivi inaitwa PARADIGMS
wanachukua watu wa Diploma na Certificate.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…