Chuo cha Ufundi Arusha kimezindua ujenzi wa mtambo wa umeme eneo la Hai Kilimanjaro

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
Chuo cha Ufundi Arusha kimezindua ujenzi wa mtambo wa umeme wa Kikuletwa 1 eneo la wilaya ya Hai Kilimanjaro pamoja na..

MTAMBO MKUBWA WA UMEME UNAOWEZA KUHUDUMIA MAGHOROFA MIA MOJA WAANZA HAI, KAMATI YA BUNGE YAFIKA​

View: https://m.youtube.com/watch?v=srJl56ep138
mhandisi Dr. Robert Kabudi kiongozi mshauri mwelekezi wa mradi aelezea kwa kina umuhimu wa ufundi na mchango wake kwa jamii na ajira kama kiwanda cha kufundishia .. elimu ya mikono .. kuingiza 1.65 MW katika gridi ya taifa... mradi kukamilija October 2025...

Timu ya Taifa' ya Wahandisi katika mradi wa Umeme Rufiji​

Mhandisi Dr. Robert Kabudi mwenye miaka 20 ya kusimamia miradi mikubwa ya ujenzi nje ya Tanzania pamoja na wahandisi wengine mahiri wazalendo wapo ktk mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umeme la Rufiji linatotegemewa kuzalisha 2115 MW wa umeme Tanzania. Mhandisi Robert anaitaja timu hiyo ya watu 21, kikosi anacho kibainisha kama timu ya kutizamwa duniani

ARUSHA TECHNICAL COLLEGE -ATC is planning to rehabilitate Kikuletwa 1 as a 1.65 MW small hydropower plant delivering an estimated 8.8 GWh/year of much needed renewable electricity to the national grid. It is foreseen that the investment can be financed through a public private partnership with a regionally experienced investor.

  • Income opportunities are created in the project area.
The project aims at supporting technical and vocational education and training, which is regarded as an important tool for the socio-economic development of the country. It enhances skill development which is expected to reduce unemployment and alleviate poverty.

FINANCING​

The total project cost estimate is EUR 11.4 million. NDF provides EUR 0.5 million in grant while Norway provides NOK 29.0 million (~EUR 3.3 million), a private investor an estimated EUR 6.5 million, the Government of Tanzania approximately EUR 0.5 million), and other donors approximately EUR 0.6 million
 
Chuo cha Ufundi Arusha kimezindua ujenzi wa mtambo wa umeme wa Kikuletwa 1 eneo la wilaya ya Hai Kilimanjaro pamoja na..

MTAMBO MKUBWA WA UMEME UNAOWEZA KUHUDUMIA MAGHOROFA MIA MOJA WAANZA HAI, KAMATI YA BUNGE YAFIKA​

View: https://m.youtube.com/watch?v=srJl56ep138
mhandisi Dr. Robert Kabudi kiongozi mshauri mwelekezi wa mradi aelezea kwa kina umuhimu wa ufundi na mchango wake kwa jamii na ajira kama kiwanda cha kufundishia .. elimu ya mikono .. kuingiza 1.65 MW katika gridi ya taifa... mradi kukamilija October 2025...

ARUSHA TECHNICAL COLLEGE -ATC is planning to rehabilitate Kikuletwa 1 as a 1.65 MW small hydropower plant delivering an estimated 8.8 GWh/year of much needed renewable electricity to the national grid. It is foreseen that the investment can be financed through a public private partnership with a regionally experienced investor.

  • Income opportunities are created in the project area.
The project aims at supporting technical and vocational education and training, which is regarded as an important tool for the socio-economic development of the country. It enhances skill development which is expected to reduce unemployment and alleviate poverty.

FINANCING​

The total project cost estimate is EUR 11.4 million. NDF provides EUR 0.5 million in grant while Norway provides NOK 29.0 million (~EUR 3.3 million), a private investor an estimated EUR 6.5 million, the Government of Tanzania approximately EUR 0.5 million), and other donors approximately EUR 0.6 million

Wasanii tu hao hiyo kazi imefanywa na wazungu
 
Back
Top Bottom