Chuo cha Uhasibu Arusha(IAA) Acheni Arrogance; Part-Time Teaching Mnafanya Interview? Huko ni kudharau na kudhalilisha Watanzania

Hiyo ndio mantiki yangu kwa maana hawa wa miaka 23 bado wanakumbuka walivyokariri darasani, mimi nimesahau vya kukariri, nipo practically. Sasa kwanini nisiogope kushindwa. Eti unaniuliza, what's assets and liabilities, hizi si ni dharau sasa

Sasa mkuu Interview za vyuo mbona huwa zinakua practically! Unaandaa slides pale za topic fulani then una present pale kama unafundisha then wana ku assess

NB: sasa kama swali la assets and liabilities linakushinda, utafundishaje hao vijana?
 
Nimeanza kujifunza assets and liabilities tangia kidato cha kwanza mpaka form six ECA. Lakini siwezi kujibu la hovyo namna hii. Experience miaka 7 kazini alafu unaniuliza maswali ya form one. Bakini na kazi yenu.
 
Sasa mkuu Interview za vyuo mbona huwa zinakua practically! Unaandaa slides pale za topic fulani then una present pale kama unafundisha then wana ku assess
All in all, mimi sijaombwa kwa sasa na wala sijawahi kuomba kazi yoyote ya kufundisha chuoni hapo zamani. Nilikuwa ninazungumzia mazingira mazima ya usaili hapa Tanzania
 
Chuo cha Uhasibu Arusha(IAA) ni chuo kinachomilikiwa na Serikali yetu kupitia wizara ya fedha. Kama ilivyo vyuo vingine vya elimu ya juu na vyuo vikuu wanakuwa na upungufu wa teaching staff(walimu). Tatizo la hawa jamaa ni arrogance yaani kujisikia, majivuni, kujiona wa kipekee wakati ukweli ni kwamba ni chuo cha kawaida kabisa hata siyo Univeristy.

Siku za hivi karibuni walitangaza nafasi kadhaa za part-time, walitaka utume CV na nakala(copies) za vyeti. Sasa cha ajabu eti part-time teaching unataka umfanyie interview mtu ambaye CV yake inaonesha tayari anafundisha aidha ktk chuo kingine cha elimu ya juu au chuo kikuu kingine? Are you serious guys? Kwa kazi ya miezi 4 tu? Mtu atoke Dar Es Salaam, Dodoma,Mwanza au Mbeya kuhudhuria interview siku 2 kwa kazi ya miezi 4?

Kwa hiyo nyie hamuamini vyuo vingine vya elimu ya juu vilivyowaajiri hao wahadhiri? Acheni kiburi na dharau kwa kudhani kuwa watanzania ni maskini kiasi hicho. Msiwanyanyase watanzania kwa kutumia kodi zao wenyewe, hizo pesa ni kodi za watanzania isiwaleweshe.

Nitamshangaa sana mtanzania atakayekubali udhalilishaji huu kwa kuhudhuria hayo ma-interview yao. Watakulipa nini kuzidi utu wako, viwango vyao vinajulikana kwa saa unalipwa sh. 18,000/ jumlisha 10,000/ ya nauli jumla sh. 28,000/. Kwa wiki utafundisha masaa 4 utavuna sh. 112,000/. Semester haizidi wiki 16 ukimaliza vizuri utaambulia sh.1,792,000/. Ukitoa gharama utakazokuwa umetumia plus hii ya interview huna cha maana utakachobakiwa nacho.

Point yangu hasa siyo malipo ni dharau na udhalilishaji eti mtu tayari umeshafundisha miaka pengine km 15 na zaidi ktk vyuo vingine uje ufanyiwe interview na vitoto vidogo kwa kazi ya muda mfupi. Ni vyuo vingi tu vinachukua part-timers hawafanyi upuuzi huu, unawapatia CV yako na pengine unaonesha vyeti au unawaachia nakala za vyeti inatosha. IAA badilikeni enendeni km wenzenu.
Sas jmn ticha kwa 1,790,000 Mbna siyo ndogo na hapo Hakuna Kodi embu nenda kapige koz mkuu mm Ni muhitimu wa pale utakutuna na walimu wafuatayo ngowi, shedrac kasika ,madam Temba ,kilingala kigunga malimi ,madam Agnes , nk chuo Cha uhasibu Arusha Ni chuo Ni mahiri San kwa kuwatoa wahasibu waandamizi katak tasis za serekali na mashirika ya umam na kmpuni kubwa binfsi za ndani na nje ya nchi hi ,hvyo jitaidi ukajiunge nao uliuwanoe vijana wetu wawe mahiri kubali tu ufanyiwe interview isje kuwa una gpa kubwa kumbe ulimeza au ukawa na aGpa kubwa ila ukishindwa kutema vitus
 
Sasa hapa ndipo unapozingua

Unaingiza mambo ya age kwnye mambo ya professsion

Unaeza kuta uyo uli mzidi umri kakuzidi elimu na uwezo vizuri kabisa.

Wao wameweka utaratibu wewe kama unaona huwezi basi achana nao fanya mishe zako.

Mimi ni coordinator wa international organization moja, hata miaka 30 sijafika. Ila interview za part time tunafanyia mpaka wazee wa miaka 50 na nawafanyia mimi na wengineo. Wapo wanaopata na wako wanakosa, kuna vijana wadogo tu wana uwezo mkubwa kuliko wazee. Wacha wapewe kazi
Jmaa anakwenda kuchukuwa kuchukuw nafasi ya yule jamaa aliyerecodi akimgegeda mwnafubzi
 
Sas jmn ticha kwa 1,790,000 Mbna siyo ndogo na hapo Hakuna Kodi embu nenda kapige koz mkuu mm Ni muhitimu wa pale utakutuna na walimu wafuatayo ngowi, shedrac kasika ,madam Temba ,kilingala kigunga malimi ,madam Agnes , nk chuo Cha uhasibu Arusha Ni chuo Ni mahiri San kwa kuwatoa wahasibu waandamizi katak tasis za serekali na mashirika ya umam na kmpuni kubwa binfsi za ndani na nje ya nchi hi ,hvyo jitaidi ukajiunge nao uliuwanoe vijana wetu wawe mahiri kubali tu ufanyiwe interview isje kuwa una gpa kubwa kumbe ulimeza au ukawa na aGpa kubwa ila ukishindwa kutema vitus
Hivi Ngowi bado yupo? Abayo, Msongole, Mlai, Madam Chogo, Casmir Fabian. Daaah kitambo Sana.
 
Sasa unapingana na utaratibu au???Kazi yoyote Interview ni lazima, watajuaje unaiweza hio kazi?? hata kama umetumika kazi hio sehemu ingine kwa miaka 20 hapo ni sehemu tofauti. Kafanye tu interview mzee hutaki acha, hulazimishwi.
Naomba watanzania wenzangu tuelewane jambo moja, siyo kila jambo linaloandikwa mtu una maslahii nalo, huo ni ubinafsi, tuache mawazo ya kibinafsi. Mimi binafsi nimeandika threads kadhaa huko nyuma kuhusu taasisi za serikali sasa utaniambia kila taasisi nna maslahi?

Mambo mengine tunayaandika kwa maslahi ya Taifa letu, mi wala siko kwenye sekta hiyo ya elimu. La msingi hapa ni kuwa kuna matumizi mabaya ya fedha za umma, kuna upigaji. Unaitia hasara serikali kwa mambo yasiyo muhimu. Unafanya interview siku 2 mfululizo, interviwers wanalipwa posho, chakula pengine usafiri. Management ndiyo wamepata loophole ya kupiga hela. Kumbuka ni pesa za umma siyo za mtu. Pili unasumbua watu kwa kazi ya miezi minne kuja interview gharama zisizo na maana yoyote. Kwa hiyo kila semester uite watu interview?

Wale jamaa wanatafuta namna ya ku-justify matumizi ya pesa za umma. mimi sina maslahi na kazi husika isipokuwa maslahi ya umma. Kila mtanzania ni mlinzi wa nchi hii, tusiogope kuwafichua waovu na tuwakemee.

Chambua CV ambayo imeambatanishwa na nakala za vyeti chagua unaoona wanafit hizo positions. Ni vyuo vingi vya serikali na binafsi vina-hire part-time lecturers hata hao IAA walimu wao nao wanafanya part-time teaching kwanini vyuo hivyo vingine havifanyi interview? Jiulize. We unafikiri chuo binafsi kitakubali kuingia gharama za hovyo kama hizo? Wao hawajali kwani ni pesa za umma wakidhani hazina mwenyewe kitu ambacho si kweli.
 
Chuo cha Uhasibu Arusha(IAA) ni chuo kinachomilikiwa na Serikali yetu kupitia wizara ya fedha. Kama ilivyo vyuo vingine vya elimu ya juu na vyuo vikuu wanakuwa na upungufu wa teaching staff(walimu). Tatizo la hawa jamaa ni arrogance yaani kujisikia, majivuni, kujiona wa kipekee wakati ukweli ni kwamba ni chuo cha kawaida kabisa hata siyo Univeristy.

Siku za hivi karibuni walitangaza nafasi kadhaa za part-time, walitaka utume CV na nakala(copies) za vyeti. Sasa cha ajabu eti part-time teaching unataka umfanyie interview mtu ambaye CV yake inaonesha tayari anafundisha aidha ktk chuo kingine cha elimu ya juu au chuo kikuu kingine? Are you serious guys? Kwa kazi ya miezi 4 tu? Mtu atoke Dar Es Salaam, Dodoma,Mwanza au Mbeya kuhudhuria interview siku 2 kwa kazi ya miezi 4?

Kwa hiyo nyie hamuamini vyuo vingine vya elimu ya juu vilivyowaajiri hao wahadhiri? Acheni kiburi na dharau kwa kudhani kuwa watanzania ni maskini kiasi hicho. Msiwanyanyase watanzania kwa kutumia kodi zao wenyewe, hizo pesa ni kodi za watanzania isiwaleweshe.

Nitamshangaa sana mtanzania atakayekubali udhalilishaji huu kwa kuhudhuria hayo ma-interview yao. Watakulipa nini kuzidi utu wako, viwango vyao vinajulikana kwa saa unalipwa sh. 18,000/ jumlisha 10,000/ ya nauli jumla sh. 28,000/. Kwa wiki utafundisha masaa 4 utavuna sh. 112,000/. Semester haizidi wiki 16 ukimaliza vizuri utaambulia sh.1,792,000/. Ukitoa gharama utakazokuwa umetumia plus hii ya interview huna cha maana utakachobakiwa nacho.

Point yangu hasa siyo malipo ni dharau na udhalilishaji eti mtu tayari umeshafundisha miaka pengine km 15 na zaidi ktk vyuo vingine uje ufanyiwe interview na vitoto vidogo kwa kazi ya muda mfupi. Ni vyuo vingi tu vinachukua part-timers hawafanyi upuuzi huu, unawapatia CV yako na pengine unaonesha vyeti au unawaachia nakala za vyeti inatosha. IAA badilikeni enendeni km wenzenu.
Cc Joseverest
 
Back
Top Bottom