Chuo cha Unesi Chalambe

Massa

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
684
Reaction score
854
Habari wana jf?
Kama kuna mtu anajua kuhusu chuo cha unesi kiko mbagala chalambe naomba msaada wa kujua chochote kuhusu hicho chuo. Maana kuna mdogo wangu anapenda kujiunga nacho. Nazani kinaitwa st Francis..
 
Ya mi nakifahamu,ni magumashi matupu:1.Hakina usajili 2.darasa wanalotumia ni kanisa 2.pesa yako tu hakuna kukagua vyeti kwenye kuingia...........kwani mdogo wako kapata vipi(NECTA)? ILI TUMSHAULI ZAIDI
 
Matokeo yake hayakua mazuri DV iii lakini anapenda kwenda unesi nazani kufuta mkumbo tu nakuona kachekewa maisha. Mdau naomba kujua zaidi kuhusu hicho chuo tafadhari ndugu maana nisije poteza hela zangu kwa mambo yasiyo kua na maana. Au ushauri tu nitafurahi zaidi
 
Samahani kwa makosa ya spelling spleen
 
Last edited by a moderator:
Basi asifuatishe mkumbo kwani kuna vyuo vingine vipo kama kuna hela na nia ya dhati.

Umejibu kisiasa mkuu, unajiandaa kwenda Mjengoni nini 2015?
mtajie hvy vyuo na mahali vilipo hata kama contacts umpe ili aanze kuhangaikia huko. Nadhani kwa namna hiyo utakuwa umemsaidia.
 
Ni form ngapi? six or four? na ningependa nijue mchanganuo wa masomo ya physics ,chemistry,biology and english kwa O'level ili tuweze ja tunafanyaje
 
Kuna KAM ipo kimara, A3 institute ipo pale baada ya faya ukiwa unaelekea DIT hivyo viwili msaada tosha,
 
Ya mi nakifahamu,ni magumashi matupu:1.Hakina usajili 2.darasa wanalotumia ni kanisa 2.pesa yako tu hakuna kukagua vyeti kwenye kuingia...........kwani mdogo wako kapata vipi(NECTA)? ILI TUMSHAULI ZAIDI

Samahani tena mkuu nilikosea kwenye matokeo ya necta ana division iv ya D nne
 
Mass[QUOTE said:
a;7265770]Samahani tena mkuu nilikosea kwenye matokeo ya necta ana division iv ya D nne

[/QUOTE] Ok mchanganuo upoje?
 
Mchanganuo ni CIV- D, HIST D, KISW D, na ENGL D nyingine zote F
 
Ni form ngapi? six or four? na ningependa nijue mchanganuo wa masomo ya physics ,chemistry,biology and english kwa O'level ili tuweze ja tunafanyaje

O'level
 
Kuna KAM ipo kimara, A3 institute ipo pale baada ya faya ukiwa unaelekea DIT hivyo viwili msaada tosha,
Asante sospeter nitaangalia na kumshauri tatizo la wadogo zetu kupenda kufuata ushauri wa marafiki lakini nitajitahidi kuangalia hivyo vyuo na kujua wanaitaji nini kwa ajili ya kujiunga
 
]Mchanganuo ni CIV- D, HIST D, KISW D, na ENGL D nyingine zote
F[/QUOTE]
Kwa mchanganuo huu siwezi kukuficha ndugu yangu hawezi pata chuo chochote cha private or government duniani chenye usajili wa serikali................Nb:kuna vyuo vingi vya magumashi kama hicho cha mbagala upo tayari nikupe details zake
 
Magumashi tena,
then baadae si do magumashi hata kuendelea na masomo au kazi! mshauri ajipange upya huyo dogo a-resit,
shortcuts always longer!
 
Umejibu kisiasa mkuu, unajiandaa kwenda Mjengoni nini 2015?
mtajie hvy vyuo na mahali vilipo hata kama contacts umpe ili aanze kuhangaikia huko. Nadhani kwa namna hiyo utakuwa umemsaidia.
Twilumba nazani wewe ndo mwanasiasa zaidi maana jamaa katoa tu ushauri kwa mdogo wangu kutokufuata mkumbo mambo mengine ni akipenda tu kunielewesha. Asante lakini na wewe kama unajua chuo chochote usiofu kunishauri
 
Magumashi tena,
then baadae si do magumashi hata kuendelea na masomo au kazi! mshauri ajipange upya huyo dogo a-resit,
shortcuts always longer!

Twilumba tuko pamoja namimi naona ndo njia nzuri ku- resit sio mbaya na umri bado unamruhusu hayo mambo ya vyuo vya kichina siafiki hata kidogo lakini akinga'ang'ania nitamsongesha huko chalambe ingawa kupata kazi napo itakua kimangumashi tu na rushwa ya ngono labda
 
Well Spoken nadhani umeelewa braza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…