Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya mi nakifahamu,ni magumashi matupu:1.Hakina usajili 2.darasa wanalotumia ni kanisa 2.pesa yako tu hakuna kukagua vyeti kwenye kuingia...........kwani mdogo wako kapata vipi(NECTA)? ILI TUMSHAULI ZAIDI
Yeye nazani anafata ushauri wa rafiki yake anayesoma hapo kwa sasa ndo maana anapapenda
Basi asifuatishe mkumbo kwani kuna vyuo vingine vipo kama kuna hela na nia ya dhati.
Ya mi nakifahamu,ni magumashi matupu:1.Hakina usajili 2.darasa wanalotumia ni kanisa 2.pesa yako tu hakuna kukagua vyeti kwenye kuingia...........kwani mdogo wako kapata vipi(NECTA)? ILI TUMSHAULI ZAIDI
Mass[QUOTE said:a;7265770]Samahani tena mkuu nilikosea kwenye matokeo ya necta ana division iv ya D nne
Asante sospeter nitaangalia na kumshauri tatizo la wadogo zetu kupenda kufuata ushauri wa marafiki lakini nitajitahidi kuangalia hivyo vyuo na kujua wanaitaji nini kwa ajili ya kujiungaKuna KAM ipo kimara, A3 institute ipo pale baada ya faya ukiwa unaelekea DIT hivyo viwili msaada tosha,
F[/QUOTE]]Mchanganuo ni CIV- D, HIST D, KISW D, na ENGL D nyingine zote
Kwa mchanganuo huu siwezi kukuficha ndugu yangu hawezi pata chuo chochote cha private or government duniani chenye usajili wa serikali................Nb:kuna vyuo vingi vya magumashi kama hicho cha mbagala upo tayari nikupe details zake
Twilumba nazani wewe ndo mwanasiasa zaidi maana jamaa katoa tu ushauri kwa mdogo wangu kutokufuata mkumbo mambo mengine ni akipenda tu kunielewesha. Asante lakini na wewe kama unajua chuo chochote usiofu kunishauriUmejibu kisiasa mkuu, unajiandaa kwenda Mjengoni nini 2015?
mtajie hvy vyuo na mahali vilipo hata kama contacts umpe ili aanze kuhangaikia huko. Nadhani kwa namna hiyo utakuwa umemsaidia.
Magumashi tena,
then baadae si do magumashi hata kuendelea na masomo au kazi! mshauri ajipange upya huyo dogo a-resit,
shortcuts always longer!
Well Spoken nadhani umeelewa braza!!Twilumba tuko pamoja namimi naona ndo njia nzuri ku- resit sio mbaya na umri bado unamruhusu hayo mambo ya vyuo vya kichina siafiki hata kidogo lakini akinga'ang'ania nitamsongesha huko chalambe ingawa kupata kazi napo itakua kimangumashi tu na rushwa ya ngono labda