Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtoto wa jirani yangu amepata Div - 0, nimemsikia jirani yangu anasema huyu kafeli sasa inabidi nimpeleke chuo cha unesi huko mkoani. hapo nikajiuliza kuna chuo kinachukua Div -0?
Mimi shemeji yangu akapata Div IV ya point 29 ningependa sana aende huko huko kwenye Nursing kama atapokelewa. Mwenye kufahamu chuo naomba aniPM.
mkuu application zao na ada zao zinaendaje hivi vyuo, ila akiwa na d tatu anaweza ngonga diplomakama amepata d's za chemistry,physics na biology atapokelewa nursing ngazi ya cheti,bila hivyo hakuna nafasi.
chuo kipo kinaitwa msimbazi center kipo ilala dar es salaam......kinachukua kuanzia la saba mpaka form four.....na kipo chini ya wizara
Acheni hizooo...division 0 kwenye unesi mtu anachukuliwa ila tuu awe na division 1 ya "witooooo"
mkuu application zao na ada zao zinaendaje hivi vyuo, ila akiwa na d tatu anaweza ngonga diploma