Chuo cha Usafirishaji chawa rasmi Chuo Kikuu na Shahada 6 adimu, Wabongo tuzichangamkie!

Chuo cha Usafirishaji chawa rasmi Chuo Kikuu na Shahada 6 adimu, Wabongo tuzichangamkie!

Najua kuna Utofauti ila kwa upande wangu naona ni mdogo sana hadi ziwe kozi mbili tofauti..Sidhani ka mtu aliyesoma Procurenent & logistics mgt atashindwa kufanya kazi za mtu wa Logistics & Transport mgt

Mkuu yani unataka tukuamini kwamba hakuna tofauti kubwa kiasi hicho, kwamba huoni ama hukubali kwamba transport na procurement ni vitu viwili tofauti?

Tuliza akili yako kidogo utaona utofauti wa "Logistics and transport management" vs "procurement and logistics management", au nikikuuliza usafirishaji na ununuzi ni kitu kimoja? ama kinachokupa tabu ni hiyo logistics kuingia pande zote?

Kufanya kazi ambayo hujasomea ni kitu kimoja na kufanya kazi kwa ufanisi ni kitu kingine, na hili ndilo tatizo la watu wengi kupenda short cut, kila mtu anatakiwa afanye kazi ya taaluma yake, tuache ujanja ujanja huu hautusaidii sana kama taifa. Haya ndio maajabu ya mtoto wa makamba kasoma political science halafu amepewa nafasi ya kuwa mkurugenzi wa masoko katika kampuni ya simu!!
 
Waliomaliza form six wana qualification ya kudahiriwa kwenye hizo course?

Mkuu sasa wewe naona unatafuta kuchekesha barza, tangu lini form six akapata admission katika post graduate level?

Pre-requisite qualification ni undergraduate (bachelor degree na advanced diploma).
 
Kunat tofauti gani kubwa kati ya 3&5 au ndo ilimradi kuongeza idadi ya kozi! Af sijaona uadimu wa hz kozi mbona zilishaanza kutolewa na baadhi ya vyuo hapa TZ, labda hy 1&2

Vyuo gani vingine mkuu vinafundisha hizo kozi hapa Tanzania? huenda wahitaji ni wengi lakini hatujui vyuo vinavyotoa kozi hizo.

Mimi nafahamu open university wanafundisha kozi ya 'MBA - Logistics and Transport Management', sijasikia chuo kingine.
 
Mkuu Mwita Maranya, asante sana kwa hoja hii, nakukubali uko juu sana na mimi umenifungua macho, japo kimoyo moyo naumizwa na Veta kutoingizwa kwenye mpango huu!.

Pasco,

Tuko pamoja mkuu. Hili la VETA bado liko kwenye mchakato, nadhani kuna masuala ya uboreshaji mitaala ambayo veta wanatakiwa kuyashughulikia ili mitaala hiyo ipate ithibati ya NACTE hivyo kuwawezesha wahitimu wao kupata qualification za ku join NTA level 4.

Ni maajabu kwamba veta wamepewa majukumu ya ku train katika NTA level 1, 2 na 3 lakini hakuna bridge kati ya NTA level 3 na 4, kama ilivyo kwa wahitimu wa NTA level 6(ordinary diploma) wanavyoweza kujoin NTA level 7(bachelor degree).

Otherwise kumpeleka mtoto kusoma veta kwa sasa ni sawa na kwenda kumzika kielimu. Mamlaka ya veta wanapaswa kulifanyia kazi haraka suala hili, nafahamu limechukua muda mrefu sana tangu mchakato wa kutengeneza mitaala ulipoanza, sijui wamekwama wapi.
 
Mkuu yani unataka tukuamini kwamba hakuna tofauti kubwa kiasi hicho, kwamba huoni ama hukubali kwamba transport na procurement ni vitu viwili tofauti?

Tuliza akili yako kidogo utaona utofauti wa "Logistics and transport management" vs "procurement and logistics management", au nikikuuliza usafirishaji na ununuzi ni kitu kimoja? ama kinachokupa tabu ni hiyo logistics kuingia pande zote?

Kufanya kazi ambayo hujasomea ni kitu kimoja na kufanya kazi kwa ufanisi ni kitu kingine, na hili ndilo tatizo la watu wengi kupenda short cut, kila mtu anatakiwa afanye kazi ya taaluma yake, tuache ujanja ujanja huu hautusaidii sana kama taifa. Haya ndio maajabu ya mtoto wa makamba kasoma political science halafu amepewa nafasi ya kuwa mkurugenzi wa masoko katika kampuni ya simu!!

Mkuu kwa uelewa wangu mdogo ndo maana nikasema ipo tofauti ila ni ndogo sana.Ninavyojua 'transportation' ipo ndani ya 'logistics' (nikosoe kama nipo wrong) ndo maana nikasema mtu wa 'procurement and logistics' anaweza kufanya 'transport n logistics' ila vice versa inakuwa vigumu kutokana na kutokana na mtu wa T&L hana 'procurement' kwenye kozi yake.
(BTW ni issue za kuwekana sawa kama nipo wrong)
 
Mkuu napenda kukuhakikishia kwamba kuna tofauti kubwa sana kati ya transport na logistics.
Unaposema transportation iko ndani ya logistics ni kama vile mimi wakati nasoma mechanical engineering katika somo la industrial management & lawskulikuwa na topic ya "introduction to book keeping". Hiyo haimaanishi kwamba naweza kufanya kazi za uhasibu kikamilifu kama professional.

Kwahivyo basi transportation unayoweza kuikuta ndani ya logistics ni katika mfumo huo, let say kuna kitu kinaitwa "introduction to transport management" ndani ya logistics ili tu kumsaidia kidogo huyu mtu wa logistics kupata idea what it is transport management.

Bila shaka utakuwa umenipata, kama bado tutaendelea kufahamishana kidogo kidogo.
 
Sikujua km Pasco huwa unaandika thread za ukweli km hii yenye manufaa na imparct nzr kwa jamii, Big up Mkuu, salute!!
 
Back
Top Bottom