Kwa nini isiwe hadi saa mbili usiku siyo saa nne usiku...tatizo la Tanzania ni viongozi wasio na akili ....masaa 6 ya masomo yanatosha sana ki akili mtu kwa siku anaweza kusoma kwa masaa 4 tu bila tatizo hata masomo yawe magumu kiasi gani...hata shule za secondary walitakiwa wasiruhusiwe kwenda shule siku ya jumamosi na jumapili ...kuna faida kubwa sana kielimu na kisaikolojia kupunguza shinikizo (pressure) ya masomo kwa wanafunzi kuliko kuiongeza ....siku mbili kwa week ziwe ni mapumziko kwa shule zote nchini tena iwe ni lazima ....pia NAKUMBUSHA KUONDOSHWA KWA VITU VYOTE VYA KIDINI MASHULENI IKIWEMO HIJABU HAPA SIPEPESI MACHO HATA KIDOGO (TUNAFARAKANISHA TAIFA KUKOSA UMOJA KWA SABABU ZA DINI) wanafunzi watambuane kama wanafunzi siyo kwa dini zao...