Chuo gani au college kinaongoza kuwa na madem wakali

Mkuu hii ni social forum, jukwaa hili ni la maujinga ujingaa, km ni masuala ya maendeleo kuna majukwaa yake.
Kwa mawazo haya unadhani tutaendelea lini? Unawaza papuch tu na utumiaji mbovu wa pesa. Mademu wakali wana mchango gani kwe maisha yako. Ama wewe unataka kuwa meneja wa mamiss
 
siyo siri jaman topic za ajab ajab zimezid sasa
mweer!!
ukitaka topic serious yapo mkuu

kuna la viwanda na biashara, siasa, great thinker, Nk.
huku waty huja kuongea ujinga ajisikiapo.
eboo
 
Mtoa mada ndio ile aina ya wanaume wa chuo wanaoishia kula kwa macho tu na huwa ni wazuri sana kwny sekta ya ukuwadi
 
Inabidi tuanze kulipia kuchat jf
 
Nilivyoona tu huu uzi nikaanza kucheka
 
Mkuu una point, Ila mada umeileta mapema mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…