Chuo gani au college kinaongoza kuwa na madem wakali

Daha pole sana,nguvu kazi ya taifa hatuna tena they cant produce...mchungaji msigwa naomba upite hapa utoe neno,maana mimi nitapayuka nisieleweke
 
Kwa mawazo haya unadhani tutaendelea lini? Unawaza papuch tu na utumiaji mbovu wa pesa. Mademu wakali wana mchango gani kwe maisha yako. Ama wewe unataka kuwa meneja wa mamiss
Mkuu still88 ,wala usipate tabu watu aina ya General Mangi ndio wanaoongoza kwa kuchek porno hawafanyi ngono ,na wakifanya basi hufanya na binamu zao ,hao ni aina ya watu wasiowajua vizuri watu wa jinsia tofauti na wao kiasi kwamba wanapokuwa exposed kwao hutumia myda mwi gi kuwa fantasize !hakika jamaa saizi atakuwa anahesabu wenye vyura ,chuchu mwiba ili akapige puu aje kutusumbua na mada nyingine!
Tumpe pole maana hadi kwa age ya chuo hajamature kazi ipo na pole zaidi kwa familia yake!
 
Mkuu hii ni social forum, jukwaa hili ni la maujinga ujingaa, km ni masuala ya maendeleo kuna majukwaa yake.
Kweli wewe mwanachuo kwa hiyo ku socialize kwako ni kuwa na ujinga ujinga na kuuliza swali while u meant it halafu ukibanwa unajifanya it was nothing but foolin around?mjinga jinga peke yako au subiri wanachuo wenzako mujadili kwa mapana na marefu watu pa kupata mademu wakali nyambaf!
 
Wanafunzi wa Tz ya Viwanda!!!!
Naona Boom liko vizuri,
Sasa maliza masomo yako uje Uzilipe mapema
15% zimekusubiria.
Jibu:
Kipimo cha madem wakali kipo Machoni mwako, thus why unayemuona mbaya, mm namuona malaika.
Hebu komaza akili tujenge viwanda!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…