Chuo gani bora kwa Computer Science Tanzania?(Kwa ngazi ya Diploma)

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,367
Reaction score
2,451
Nimepata wakati mgumu wakati najaribu kuapply chuo bora chenye kumjenga mwanafunzi awe competent kwenye computer science field naombeni ushauri ni vyuo gani bora vya diploma
 
Ni passion ya mtu ,vitu vingi kwenye computer science hufundishwi darasani ni wewe na bando lako na utundu wako mitandaoni.
Niko passionated na hii kozi sema watu wasema sijui haina fursa wengine utaishia mtaani tu.
 
Nimepata wakati mgumu wakati najaribu kuapply chuo bora chenye kumjenga mwanafunzi awe competent kwenye computer science field naombeni ushauri ni vyuo gani bora vya diploma
Hakunaga
 
Harvard University free Online Course on Computer science Google utakuta wamekuwekea notice zako zote zimekaa na video ni Wewe tu kusoma

Usiulize nimekwambia Harvard University ndio Harvard University wanatoa course ya computer science bure kabisa hulipii hata 100 nenda kasome uwe competent
 
Niliwahi kuambiwa kuna kozi ya Harvard Full Stack Web Development nianze nayo kwenye computer science maana mpaka sasa nina jua frontend web development (html,css na JavaScript)
 
Ingia website yao kila kitu kipo ni bure hulipii hata 100
Ngoja nipige kozi nzima kwenye website yao.Kuna mtu aliwahi kuniambia kuna kwenye suala la computer science hamna haja ya kwenda chuo ukipata computer nzuri, internet nzuri na mtu wa kukuelekeza inatosha
 
Back
Top Bottom