Chuo gani bora kwa Computer Science Tanzania?(Kwa ngazi ya Diploma)

Chuo gani bora kwa Computer Science Tanzania?(Kwa ngazi ya Diploma)

Mku
Harvard University free Online Course on Computer science Google utakuta wamekuwekea notice zako zote zimekaa na video ni Wewe tu kusoma

Usiulize nimekwambia Harvard University ndio Harvard University wanatoa course ya computer science bure kabisa hulipii hata 100 nenda kasome uwe competent
Mkuu,ebu niongezee maarifa hapa nipate ujuzi zaidi.
Michakato ya kujiunga ikoje hapa?
Samahani kwa usumbufu!
 
Hivi ndio vyuo bora

1. Youtube

2. Udemy

😂 😂 watu walidanganywa! content zilizopo uko ni za kitoto na huezi kua competent kwenye anga za kimataifa utabaki tu kutengeneza project za watoto, ili uwe nondo lazima uende chuo chenye mpaka maths ndo unaingia kwa wale wanaolipwa mil 200 kwa mwaka
 
Back
Top Bottom