Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

Afrocentric view

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,374
Reaction score
2,280
Kwema wakuu,

Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya.

Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar) kina hizi kozi (Clinical Medicine/Phamarcy) na maisha ya chuo sio kama ya sekondari?

Yani hakuna mambo ya fimbo, adhabu, kuhesabu namba na kula kwa namba?
 
Kwa dodoma kuna udom, pale diploma zao za afya zipo chini ya TCU na wanakuchagua endapo utakua na chet cha form six na form four. kozi zilizopo ni: Diploma in pharmacy , Diploma in medical laboratory technology na Diploma in nursing. Pale udom hakuna mambo ya kuvaa sare kama nacte pale unavaa kinyumbani kama unasoma degree
Vigezo kwa form four minimum uwe na C nne za Phy,chem,bio na math

Kwa muhimbili sijajua ila pia kuna kozi za diploma zipo chini ya TCU kama mionzi n.k
 
Aende UDOM au Muhimbili ila awe na vigezo sio vya kubahatisha.

Kuhusu vyuo vingine hakuna fimbo wala nini shida ukisoma vyuo hivyo ni kama upo advance isiyokua na viboko ila mengine yote sawa mnabanwa vibaya.
 
Kwema wakuu,

Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya.

Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar) kina hizi kozi (Clinical Medicine/Phamarcy) na maisha ya chuo sio kama ya sekondari?

Yani hakuna mambo ya fimbo, adhabu, kuhesabu namba na kula kwa namba?
Mkuu degree ya engineering unarudi kusoma diploma tena ya wito. Nini kimekukuta mpaka umekua hivyo???
 
Kwa dodoma kuna udom, pale diploma zao za afya zipo chini ya TCU na wanakuchagua endapo utakua na chet cha form six na form four. kozi zilizopo ni: Diploma in pharmacy , Diploma in medical laboratory technology na Diploma in nursing. Pale udom hakuna mambo ya kuvaa sare kama nacte pale unavaa kinyumbani kama unasoma degree
Vigezo kwa form four minimum uwe na C nne za Phy,chem,bio na math

Kwa muhimbili sijajua ila pia kuna kozi za diploma zipo chini ya TCU kama mionzi n.k
na form six uwe na ufaulu upi?
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Nacheka kama mazuri mkuu achana na maswala ya kurudi nyuma pambana huko huko juu Kapige masters
Jamaa anakaba kila kona, Tamisemi wakileta option za wenye degree jamaa linapiga application, na wakileta option za wenye certificate/diploma bado jamaa halikwepeki, inshort huyu anataka kwenda sambamba na serikali[emoji28]
 
Kwema wakuu,

Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya.

Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar) kina hizi kozi (Clinical Medicine/Phamarcy) na maisha ya chuo sio kama ya sekondari?

Yani hakuna mambo ya fimbo, adhabu, kuhesabu namba na kula kwa namba?
Nilisoma Engineering nikamaliza nikaenda MD (Medicine doctor ) nikamaliza sikiliza Moyo wako.Naomba unipm uko serious ,sikiliza moyo wako hutojita
 
Maisha haya asee unaforce namna hii kupata check no. While Kuna kadada kana certificate ya hali ya hewa toka kigoma kanakula M 1.5 Hapo TMA HQ....

ME NINA SWALI UNA UHAKIKA UTAZITUMIA ELIMU ZAKO ZOTE KUINGIZA HELA AU NDO MOJA ITABIDI IWE USELESS..NA HAPO COET UMEPIGWA FACULTY GN MAANA SIO KUPIGA HAPO NI KUPIGWA.
 
Back
Top Bottom