Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

Siyo kuvurugwa!MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO.Nilisoma Engineering nikamaliza lakini ghafla tu nikatamani kwenda medicine(Degree) nafurahia Sana kazi yangu
Nyinyi ndio mna degree mpaka 17 zote za nini?
 
Aende UDOM au Muhimbili ila awe na vigezo sio vya kubahatisha.

Kuhusu vyuo vingine hakuna fimbo wala nini shida ukisoma vyuo hivyo ni kama upo advance isiyokua na viboko ila mengine yote sawa mnabanwa vibaya.
Yah mkuu dirisha lipo wazi kwa sasa cha muhimu afanye application mapema maana competition ni kubwa.
 
Back
Top Bottom