Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

Acha kuwaza kimaskini rafiki. Hizo dispensali zinaingiza sh ngapi?? Kwa mwezi. Utaiba nini hapo. Kwanini unataka kutengeneza kizazi maskini maskini miaka, nenda rudi. Baba yake mmimiliki wa Facebook alikua dakitari, akamhimiza dogo asome kompyuta. Dogo ndio kaleta utajiri home. Achana na kozi za kimaskini. Think big. Ukishaajiriwa hospitalini then?????? Embu mrudie Mungu wako, uanze upya, umeshindwa hata kwenda ofisi za CCM na degree yako ya engineering
Sawa, kwahyo unanishauri nisomee kipi?
 
Ila mkuu ingependeza ueleze sababu za kuacha digrii yako urudi diploma....unaweza pata ushauri mzuri zaidi.
Digrii sio kwamba naiacha maana nimeshagraduate na cheti kipo, ila kwakuwa fursa nmeona ni chache nimeamua kutafuta field nyingine kabisa ya afya...Hata nkigraduate afya na nkapata kazi nzuri ya engineering..Nafanya maana tayar experience ninayo.
 
sijui una umri gani ila nimesoma afyaa... hiyo laki 5 unayoikataa kuna DR analipwa mahalii tena kwa connection hao CO ndo kabisaa nashangaa pamoja na degraa yako uelewa upo chini sana
 
sijui una umri gani ila nimesoma afyaa... hiyo laki 5 unayoikataa kuna DR analipwa mahalii tena kwa connection hao CO ndo kabisaa nashangaa pamoja na degraa yako uelewa upo chini sana
Nina 24. Dah! kwahyo unasema ngoma kote ngumu??
Ngoja nikupe my thought process.....
Mimi nlikuwa kwenye njiapanda, kati ya kuchukua degree nyingine (sio afya maana advance nlisoma pcm) au kwenda masters. Au kuacha kazi na kujikita kwenye kujiajiri (maana hii laki 5 ya kuajiriwa naisotea, yani sipati muda extra wa biashara).
Au kwenda China kusoma MBBS au vyuo vya scandinavia/UK/Marekani (Tatizo ada)
Au kusoma afya kuanzia diploma.
Ndo nkachagua hiyo last option maana yenyewe ndiyo atleast ina uhakika na future.
 
KARIBU SANA.

NAOMBA UNI PM
 
dogo siku nampeleka chuo mloganzira mixer mafagio,ndoo majembe nilicheka mnooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ukizingatia alikuwa anajifanya sharobaro
Hahahahah chuo wanaenda na mafagio dah 😂😂😂
 
Maisha haya asee unaforce namna hii kupata check no. While Kuna kadada kana certificate ya hali ya hewa toka kigoma kanakula M 1.5 Hapo TMA HQ....

ME NINA SWALI UNA UHAKIKA UTAZITUMIA ELIMU ZAKO ZOTE KUINGIZA HELA AU NDO MOJA ITABIDI IWE USELESS..NA HAPO COET UMEPIGWA FACULTY GN MAANA SIO KUPIGA HAPO NI KUPIGWA.
KWANGU NINAZITUMIA ZOTE NIMEKUWA BARAKA SEHEMU YANGU YA KAZI ,NILISOMA ELECTRONICS ENGINEERING KWA MAANA HIYO VIFAA VYOTE VIKIZINGUA NIMO ,NA UDAKATRI WANGU
 
Nina 24. Dah! kwahyo unasema ngoma kote ngumu??
Ngoja nikupe my thought process.....
Mimi nlikuwa kwenye njiapanda, kati ya kuchukua degree nyingine (sio afya maana advance nlisoma pcm) au kwenda masters. Au kuacha kazi na kujikita kwenye kujiajiri (maana hii laki 5 ya kuajiriwa naisotea, yani sipati muda extra wa biashara).
Au kwenda China kusoma MBBS au vyuo vya scandinavia/UK/Marekani (Tatizo ada)
Au kusoma afya kuanzia diploma.
Ndo nkachagua hiyo last option maana yenyewe ndiyo atleast ina uhakika na
duuh noma sana
 
KARIBU SANA.

NAOMBA UNI PM
Mkuu Embryology huyu hana passion ni hali ngumu tu kwenye fani yake soma vizuri mstari wa mwisho wa commeny number 74! huyu kama ameshindwa kutengeneza lemonade kutokana na lemon aliyotapa basi hato weka kutengeneza squish kutokana na chungwa analolitafuta!
 
Back
Top Bottom