Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

Wewe lengo lako lilikuwa kupata vyuo, hivyo fuatilia vyuo ulivyotajiwa achana na mawazo mgando ya watu walioshindwa wewe fanya kitu kulingana na uhitaji wako wa sasa hivi lakini ukisikiliza mawazo ya wengine utashindwa kutimiza ndoto zako kwa kuangalia mitazamo hasi
Ndoto za kurudia bachelor au diploma za kijinga
 
Chu cha diploma cha udom kinaitwaje??
Hapa nimeona kwenye system kwa dodoma kuna ''Benjamin Mkapa institue of health & allied science college'', na Dodoma institute of health and Allied science..Ni kipi kati ya hivyo??
Udom si ndiyo chuo mkuu kinatoa hizo diploma za afya ila pia Hiyo benjamini mkapa ipo ndani college ya tiba udom nayo wameanzisha institute yao itayo toa diploma ya mionzi tu.
 
hivi benjamin mkapa ndiyo ipo UDOM au?
Hospital yao ipo ndani ya college of health science udom, pia wameanzisha institue yao ambayo itatoa diploma ya mionzi ila elewa kua benjamini ipo ndani ya eneo la chuo kikuu cha dodoma
 
na chuo kinachoitwa dodoma institute of health& allied sciences kiko wapi?
 
Hivi ni kweli ndugu yetu umemaliza degree ya hiyo kitu uliyotaja? Kama kweli umemaliza na hiki unachouliza basi kuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa Elimu kuanzia vidudu mpaka huko ulikomaliza degree yako
 
Yes, tatizo liko wapi?
 
Kipo dodoma huku huku ila sijajua ni sehemu gan mkuu
Sawa, UDOM wao chuo cha diploma kinaitwaje??
Maana naangalia hapa kwenye list ya vyuo vya dodoma vilivyosajiliwa NACTE sioni UDOM
 
Attachments

  • 2022-07-22 (2).png
    2022-07-22 (2).png
    65.7 KB · Views: 56
Mambo ya Kisekondari halafu unaulizia chuo, come on!! Inaonesha mambo ya Kisekondari unayo wewe
 
Sawa, UDOM wao chuo cha diploma kinaitwaje??
Maana naangalia hapa kwenye list ya vyuo vya dodoma vilivyosajiliwa NACTE sioni UDOM
UDOM hakipo under NACTE mkuu iko kipo under TCU mkuu kwa hiyo huwezi ukakiona kwenye list ya vyuo vya nacte
 
Ndoto za kurudia bachelor au diploma za kijinga
Kwako ni ujinga ,..!Hata wewe Kuna mtu anaona wewe kuwa na ndoto za kusoma Master's degree/PhD ni ujinga.

Sikiliza mafanikio hayana muda maalum wala hayana umri.

Kila mtu ana ndoto zake na ananjia zake za kufanikiwa.

*NDOTO YA MTU USIITE UJINGA *
 
Huyu@Meneja Wa Makampuni ni mjuaji wa kijinga alikuwa anaongelea kuhusu kwamba ni mtaalamu wa kuomba scholarship za masters ughaibuni nikamfuata inbox anisaidie maelekezo ila alikaa kiyma,leo yupo kwenye hii thread akipondea elimu na hustle za mleta maada, yaani Huyu jamaa ni kenge kwenye group la mamba.
 
Hapa ndio umeharibu sasa, ivi unadhani kuomba scholarship ni jambo la kujianzia tu bila maandalizi na muda. Umeharibu rafiki, umeharibu sana.
 
Back
Top Bottom