Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

Hapa ndio umeharibu sasa, ivi unadhani kuomba scholarship ni jambo la kujianzia tu bila maandalizi na muda. Umeharibu rafiki, umeharibu sana.
Wewe ni mnafiki na mbinafsi kama ni mwanamke basi familia yako haiwezi kupokea mgeni maana wewe ni mchoyo na Nina uhakika hujaolewa na usipobadilika hutoolewa.
 
Siwezi kubishana nawewe rafiki. Ungekua ni mtu mwelewa usingeleta mambo ya private message hadharani.
 
Jamaa anakaba kila kona, Tamisemi wakileta option za wenye degree jamaa linapiga application, na wakileta option za wenye certificate/diploma bado jamaa halikwepeki, inshort huyu anataka kwenda sambamba na serikali[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe lengo lako lilikuwa kupata vyuo, hivyo fuatilia vyuo ulivyotajiwa achana na mawazo mgando ya watu walioshindwa wewe fanya kitu kulingana na uhitaji wako wa sasa hivi lakini ukisikiliza mawazo ya wengine utashindwa kutimiza ndoto zako kwa kuangalia mitazamo hasi
Ndoto za kurudia bachelor au diploma za kijinga
Nimeyaleta baada ya kukuona unakebehi juhudi na bidii za mleta maada.
Mleta mada amechanganyikiwa anahitaji kufanyiwa maombi
 
Ndoto za kurudia bachelor au diploma za kijinga
Mleta mada amechanganyikiwa anahitaji kufanyiwa maombi
Ni masuala ya opportunities tu. Yupo jamaa Marekani alimaziza PhD sikumbuki ya fani gani halafu Ulaya, lakini alipoenda Marekani akaanza kusoma upya Nursing na ndio inayomlipa sasa hivi.
 
heeeeeeee, unazeekea shuleni
 
Ndoto za kurudia bachelor au diploma za kijinga
Mleta mada amechanganyikiwa anahitaji kufanyiwa maombi
Unaushamba wa kimazingira ,unashamba wa Elimu.Una less exposure huwezi kuelewa.

Anachotaka kufanya mtoa Uzi ni cha kawaida sana na yeye siyo wa kwanza.

Lakini baadhi ya watu ambao ni wavivu wa kufikiri na washamba wa Elimu hawawezi kuelewa
 
Ungekua na ufaulu ulioshiba ungesoma industrial mkuu?pale udsm industrial huwa inasomwa na watu wenye ufaulu mdogo mno
Mantiki yako ni nini sasa hapa? Wabongo wengi wamejaza ujinga kichwani.
 
Ila we jamaa bwana pcm na engineering huko uliisomaga vizuri kweli yaani unawaza kwenda diploma ya C.O kisa msharaha wa mwezi wa kuajiriwa kweli. Bongo watu elimu huwa tunakaririshana tu aisee. Yaani engineering umeshindwa kuitumia pcm nayo umeshindwa kuitumia almost 6 years plus 10M+ loan have gone. Mm nilipiga pcm nikapata three yakusoma Sana vitabu kumbe kwenye paper wanataka ujue kusolve maswali nikashauriwa niingie Diplo ya C.O nikazinda mwaka mmoja baadae nikajiunga DIT kusoma diploma ya mechanical engineering niliishia mwaka wa wakwanza kwasababu za kiafya na pesa kwahiyo I left there with only NTA level 4 results. Lakini Sasa Kuna watu wamenishauri niende Diplo ya C.O but nimeshiti nimejiuliza pcm yangu + NTA level 4 niwenimepoteza mda+ nguvu+ Ada. Nimeamua kuvalue nilicho nacho hivyo nimeanza kuona fursa nyingi tu.

Kama umeshindwa kuvalue thamani ya ulicho nacho usitegemee Kuna mtu Atakivalue.
 
Wewe bado sana hata kuelewa mantiki ya mtoa mada umeshindwa.
Soma tena lengo lake
 
Back
Top Bottom