Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,069
- 3,899
Wewe ni mnafiki na mbinafsi kama ni mwanamke basi familia yako haiwezi kupokea mgeni maana wewe ni mchoyo na Nina uhakika hujaolewa na usipobadilika hutoolewa.Hapa ndio umeharibu sasa, ivi unadhani kuomba scholarship ni jambo la kujianzia tu bila maandalizi na muda. Umeharibu rafiki, umeharibu sana.