Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Kuna UNISA cha SAOpen university bila kuwa na wasiwasi. Vya nje lazima uwe makini. Utafute chuo kikongwe kama vya London na open university UK. Vinginevyo upate clearance ya tcu (hii inaweza kuwa ngumu). Vya nje pia ni ghali sana. All the best.
Hicho nacho ni kikongwe sidhani kama kitakuwa na shida kutambuliwa.Kuna UNISA cha SA
Infact kwa ushauri wangu ate mbele website ya TCU... kuna some recognised foreign university atakuta paleHicho nacho ni kikongwe sidhani kama kitakuwa na shida kutambuliwa.
AsanteOpen University mkuu, kipo hapa hapa tanzania. Sio masters tu hata ukitaka hadi PHD