Chuo gani Dar es Salaam kinatoa Degree ya IT kwa masomo ya jioni?

Chuo gani Dar es Salaam kinatoa Degree ya IT kwa masomo ya jioni?

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,431
Reaction score
5,336
Habari ndugu zangu,

Kichwa cha uzi kinajieleza.

naomba kufahamishwa chuo kinachotoa degree ya IT kwa masomo ya jioni kwa vyuo vilivyopo hapa jijini Dar es Salaaam?

Hoja yangu ni hiyo naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom