Chuo gani hapa Tanzania naweza kusoma Diploma online?

kholo

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
413
Reaction score
76
Habari zenu wanajamvi, naombeni ushauri katika hili.

Nahitaji kusoma diploma online, Naomba mwenye uelewa ni chuo gani cha nje chenye tawi hapa dar au cha ndani ambacho ni kizuri kwa wanaosoma online. Natanguliza shukrani.
 
Nenda darasani wewe acha uvivu
 
Habari zenu wanajamvi, naombeni ushauri katika hili.

Nahitaji kusoma diploma online, Naomba mwenye uelewa ni chuo gani cha nje chenye tawi hapa dar au cha ndani ambacho ni kizuri kwa wanaosoma online. Natanguliza shukrani.

ni VETA
 
open university na kampala university (dsm) wanatoa huduma za open and distance learning...kwa online utasubiri sana maana wengi africa waongo
 
Back
Top Bottom