Chuo gani kinatoa kozi ya Project Planning Management and Community Development

hipac

Member
Joined
Feb 16, 2014
Posts
24
Reaction score
23
Wana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana HGK kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT. Je chuo gan wana offer hyo facult, na anastahili?
 
Kwa nn asitembelee website za vyuo mbali mbali?
 
Wana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana HGK kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT. Je chuo gan wana offer hyo facult, na anastahili?

IRDP dodoma umeangalia?
 
chuo cha ardhi ARU na chuo cha mipango dodoma ila hizo alama zake ninamashaka nazo ushindani ni mkubwa sana ndugu yangu ila jaribu usikate tamaa.
 
kumbe kasoma kombi za "kimbebez" mwambie akauze mama ntilie!...mwanaume mzma unasoma kombi za kike!...heshima iko wapi sasa!
 
Wana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana HGK kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT. Je chuo gan wana offer hyo facult, na anastahili?

jaribu kutembelea tovuti za vyuo mbali mbali unaweza fikia lengo
 
Perry, holygrail , bado mpigamsuli kabla ya timu kukamilika !, kauli zenu zitawameza na mtashindwa kutoka humo !, its just a matter of time .. Hivi are you encouraging !, convincing an idea or discouraging ! _ for you _more are yet to come .. Anyway all the best to you all..
 
Last edited by a moderator:
kumbe kasoma kombi za "kimbebez" mwambie akauze mama ntilie!...mwanaume mzma unasoma kombi za kike!...heshima iko wapi sasa!

Kombi za kike ndio zipi ?
Na za kiume ndio zipi?
Unatumia nini kuzitofautisha ?
Na ukisoma hizo za kiume unakuwaje kimaisha ?
Na wale waliosoma za kike wanakuwa na tofauti gani kimaisha?
 
good qn mbebez!..
Kombi za "kimbebez" ni kombi ambazo hata mtoto wa "vidudu" anaelewa kama akipata mwalimu mzuri. Hazihitaji kuumiza akili kama ambavyo "mbebez" wasivyopenda shida!..baadhi ya "kombi za kimbebez" ni hgl,hkl,hgk,hge,egm,eca. Kombi za "milume" kama mimi dr.holygrail ni kombi ambazo hata upate div 4 hukosi kazi wala hutembei na bahasha maofisini kama "shoga". Mfano pcb,pcm,pgm,cbg,cba na kwa mbaaaali egm.
 
Wana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana HGK kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT. Je chuo gan wana offer hyo facult, na anastahili?

nenda UDOM
 
kumbe kasoma kombi za "kimbebez" mwambie akauze mama ntilie!...mwanaume mzma unasoma kombi za kike!...heshima iko wapi sasa!

Kama huna cha kuchangia bora unyamaze embu soma ulichoandika na alichouliza mdau ni vitu viwili tofauti.
Jaribuni kuwa watu wazima basi.Unachangia ''UTUMBO'' Mnakera sanaaaa!!!!!!!!!
 
Wana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana HGK kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT. Je chuo gan wana offer hyo facult, na anastahili?

Jaribu kuangalia University of Dodoma.
 
kumbe kasoma kombi za "kimbebez" mwambie akauze mama ntilie!...mwanaume mzma unasoma kombi za kike!...heshima iko wapi sasa!

Hao hao unaodai wamesoma kombi za kimbebez ndo hao hao ambao wanakuongoza maofisini kwenu kama ma Human Resources na Adminstrators Managers/Officers..

Jinga Kabisa Wewe.
 
Wana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana HGK kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT. Je chuo gan wana offer hyo facult, na anastahili?

Unataka Faculty au Kozi?
 
Hao hao unaodai wamesoma kombi za kimbebez ndo hao hao ambao wanakuongoza maofisini kwenu kama ma Human Resources na Adminstrators Managers/Officers..

Jinga Kabisa Wewe.

Usipoteze nguvu zako na wapumbafu..

Humu tunatumia fake ids ambazo ni ngumu kutambua jinsia ya mtu na umri wake isipokua tunatambua uwezo wa akili ya mtu kwa maandishi yake hapo...

Nakuhakikishia akili za hao vijana ni fupi kuliko maisha ya funza na hawana uzoefu wowote kuhusu maisha..

mnapo wa quote mavi yao ndipo hupata sifa ya kuendelea kunya...

Silaha na adhabu kuu ya mpuuzi ni kupuuzwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…