Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndugu kuna chuo kinatoa faculty ndugu? Ni programme.angalia mipango irdpwana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana hgk kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha project planning management and community development. Je chuo gan wana offer hyo facult, na anastahili?
Ndugu "faculty" inamaanisha nini kwenye uzi wako?
udom....ppm&cd ina maprof wengi sana..pia mzumbe ipo ila ime base kwenye uchumi..
ila udom wanachukuwa sana walio soma HGE, EGM...sizani kama hgk wata mchukuwa.
Perry, holygrail , bado mpigamsuli kabla ya timu kukamilika !, kauli zenu zitawameza na mtashindwa kutoka humo !, its just a matter of time .. Hivi are you encouraging !, convincing an idea or discouraging ! _ for you _more are yet to come .. Anyway all the best to you all..
Kama kuelewa umeelewa sema tu dharau inakusumbua....msaidie mtoto wa mkulima apate elimu aikomboe familia yake na jamii kwa ujumla kama sio taifa.Mimi nimechelewa kuiona hii thread, lakini kikubwa nina mashaka na huyo anayetaka kusoma hiyo degree programme, anauliza chuo gani kina "offer facult" ngoja niishie hapo. Hakuna chuo hapa duniani kinachoweza kutoa facult
Wana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana HGK kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT. Je chuo gan wana offer hyo facult, na anastahili?
acha uvivu wa kufikili kilaza ww !!!
udom....ppm&cd ina maprof wengi sana..pia mzumbe ipo ila ime base kwenye uchumi..
ila udom wanachukuwa sana walio soma HGE, EGM...sizani kama hgk wata mchukuwa.