Chuo gani kinatoa kozi ya Project Planning Management and Community Development

Chuo gani kinatoa kozi ya Project Planning Management and Community Development

Mimi nimechelewa kuiona hii thread, lakini kikubwa nina mashaka na huyo anayetaka kusoma hiyo degree programme, anauliza chuo gani kina "offer facult" ngoja niishie hapo. Hakuna chuo hapa duniani kinachoweza kutoa facult
 
wana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana hgk kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha project planning management and community development. Je chuo gan wana offer hyo facult, na anastahili?
ndugu kuna chuo kinatoa faculty ndugu? Ni programme.angalia mipango irdp
 
Ndugu "faculty" inamaanisha nini kwenye uzi wako?
 
udom....ppm&cd ina maprof wengi sana..pia mzumbe ipo ila ime base kwenye uchumi..
ila udom wanachukuwa sana walio soma HGE, EGM...sizani kama hgk wata mchukuwa.
 
udom....ppm&cd ina maprof wengi sana..pia mzumbe ipo ila ime base kwenye uchumi..
ila udom wanachukuwa sana walio soma HGE, EGM...sizani kama hgk wata mchukuwa.

Hata HGK na HKL wapo wengi tu waliochukuliwa, inategemea tu hao waliosoma HGE, EGM wameomba wangapi na kama wamequalify. But ukiwa na knowledge na economics na Maths utai-manage vizuri zaidi PPM

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Perry, holygrail , bado mpigamsuli kabla ya timu kukamilika !, kauli zenu zitawameza na mtashindwa kutoka humo !, its just a matter of time .. Hivi are you encouraging !, convincing an idea or discouraging ! _ for you _more are yet to come .. Anyway all the best to you all..

mpigamsuli akiponda itakuwa amejisaliti mwenyewe kwani naye yuko humohumo.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimechelewa kuiona hii thread, lakini kikubwa nina mashaka na huyo anayetaka kusoma hiyo degree programme, anauliza chuo gani kina "offer facult" ngoja niishie hapo. Hakuna chuo hapa duniani kinachoweza kutoa facult
Kama kuelewa umeelewa sema tu dharau inakusumbua....msaidie mtoto wa mkulima apate elimu aikomboe familia yake na jamii kwa ujumla kama sio taifa.
 
Wana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana HGK kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT. Je chuo gan wana offer hyo facult, na anastahili?

Community Development Training
Institute (CDTI) Tengeru , jaribu hapo.
 
UDOM na IRDP ndo wanatoa hiyo cozi vyuo vingine wanatoa PPM kivyake na CD kivyake ila hivyo nilivyotaja vinatoa PPM&CD.
 
udom....ppm&cd ina maprof wengi sana..pia mzumbe ipo ila ime base kwenye uchumi..
ila udom wanachukuwa sana walio soma HGE, EGM...sizani kama hgk wata mchukuwa.

Wanachukua ila kwa wenye Div 1
 
Back
Top Bottom