Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi inabidi uanishe exactly philosophy ya nini? Maana unaweza kusoma any Masters inaitwa Mphil- hii unafanya research tu huingii darasani. Hivyo waweza kufanya research ya kitu chochote. sifa kwa vyuo vingi ni A good first Degree normally First class ama a good Upper second Plus experience ya Research na ushahidi ni few Publications kwenye hilo eneo. Hope umenipata. Vyuo vikuu vingi hapa Tanzania Hutoa hiyo degree na mara nyingi ni steping stone ya Kufanya shahada ua Uzamivu I mean PhD. Open, UDSM wanatoa hizo. Kama una swali uliza tu
Wadau naombeni msaada katika tittle yangu hapo juu