Chuo gani kinatoa masters of philosophy hapa tanzania?

Chuo gani kinatoa masters of philosophy hapa tanzania?

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
713
Wadau naombeni msaada katika tittle yangu hapo juu
 
Hi inabidi uanishe exactly philosophy ya nini? Maana unaweza kusoma any Masters inaitwa Mphil- hii unafanya research tu huingii darasani. Hivyo waweza kufanya research ya kitu chochote. sifa kwa vyuo vingi ni A good first Degree normally First class ama a good Upper second Plus experience ya Research na ushahidi ni few Publications kwenye hilo eneo. Hope umenipata. Vyuo vikuu vingi hapa Tanzania Hutoa hiyo degree na mara nyingi ni steping stone ya Kufanya shahada ua Uzamivu I mean PhD. Open, UDSM wanatoa hizo. Kama una swali uliza tu
 
Hicho unachokisema sio kweli Mkuu. Hiyo inaitwa MPh ikiwa na maana ni Research based programme katika subject area fulani. Kimsingi ili kujibu swali la mleta uzi, ni kwamba ndio kuna ya masters ya Philosophy. Kama ilivyo katika bachelor level yaani BA in Philosophy basi kuna MA in Philosophy na kuna Kuna PhD in Philosophy. People like Dr. Adolf Mihanjo have this qualification. (Make a follow up on this)

Bahati mbaya Tanzania hapa Philosophy as a subject and professional area was suppressed. Nyerere hakuwahi kuruhusu Chuo Kikongwe kama cha DSM kitoe mafunzo ya Philosophy, kwa kuogopa changamoto za Kifalsafa (Haya ni maoni yasiyo rasmi). Chuo cha kwanza kutoa BA in Philosophy kilikuwa ni Salvatorian Institute of Philosophy and Theology as an affiliate Institute of Pontifical Urbaniana University Rome kuanzia miaka ya 95 hivi. That College is now called Jordan University College as a Constituent college of SAUT. I know kwenye website yao bado hawaja weka lakin ndo chuo pekee hapa TZ kinachotoa Master of Philosophy or MA in Philosophy. Mifano mingine ni kama CUEA kilchopo Nairobi yaani Catholic University of Eastern and Central Africa utaona hizo programme na contents zake.
 
Wadau naombeni msaada katika tittle yangu hapo juu

Chuo TZ hapa ni kimoja tu mpaka sasa nacho ni St Jordan University College. Huko kwingine kote watakubabaisha tu. Kwa kuwa hata UDSM katika kitengo cha Philosophy wanategemea wataalam kutoka chuo hicho. jaribu kupitia link hii Admission & Requirements
 
Jordan University college kinatambulika dunia nzima kwa kutoa iyo koz kwa ubora.
 
Kweli kabisa wakuu ni JORDAN UNIVERSITY COLLEGE zamani SALVATORIAN INSTITUTE OF THEOLOGY AND PHILOSOPHY
 
Back
Top Bottom