Chuo gani naweza kuchaguliwa kwa alama hizi

Chuo gani naweza kuchaguliwa kwa alama hizi

babo

Senior Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
194
Reaction score
23
Wanajamii kuna jamaa mmoja amemaliza 2009 na kupata 29 katika masom yake kapat C,D 4 na F ya bio na eng, je anaweza soma chuo gani?

naomba msaada wenu
 
kasoma masomo ya arts civics C,kisw D,his D,geo D,math D na bio na eng mi F,hayo ndo masomo yake mkuu
 
utaratibu wake unakuwaje mkuu huko ccp
 
Back
Top Bottom