Chuo gani ni kizuri katika kufundisha kozi ya Sheria?

Chuo gani ni kizuri katika kufundisha kozi ya Sheria?

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
621
Reaction score
817
Wadau inakuaje?

Ninapenda kujua chuo gani ni kizuri kinachotoa elimu nzuri ya Sheria 'coz mdogo angu anataka ajue mapema vyuo atakavyo-apply.

Kaniomba nimsaidie alafu mimi sijasoma kozi kama yake; kwhiyo inaniwia ngumu kutambua. Lakini wadau wa JF hamtashindwa kunisaidia naombeni vyuo vitano tu vinavyofanya fresh kwenye course ya LAW.
 
Kwanini usiseme kuwa ni wewe wakati hata mwandiko unasadifu ni wewe mwenyewe.
 
Nop sio mimi.. ngekua mm ngesema tu live coz hata ID za jF ziko privacy sana kwhy hamna cha kuogopa kaka
 
Kwel uandish wangu sio mzuri lakini kuna watu wanajua uandishi mzuri lakini ujumbe unakua haueleweki na kunawatu hatujui uandishi vizr bt ujumbe unaeleweka so kwenye matter ya kuelewana tu hakunaga sheria [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom