Chuo gani ni kizuri kwa kusoma MD?

Chuo gani ni kizuri kwa kusoma MD?

Ba Liz

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
58
Reaction score
8
Mimi ni mwanachuo nasoma CO.naomba mnisaidie ni chuo kipi cha faa sana kwa udaktari?na kwa sasa vigezo vyao ni vipi ?
 
Muhimbili kipo poa cuttpoint ni 7 for two subjects CHEMISTRY AND BIOLOGY... den subsidiary subject ambalo ni physics uwe na E
 
Tanzania nzima chuo bora cha MD ni muhimbili tu,ukiona mtu amekimbilia bugando au kairuki ujue amekosa muhimbili,
 
Muhimbili kipo poa cuttpoint ni 7 for two subjects CHEMISTRY AND BIOLOGY... den subsidiary subject ambalo ni physics uwe na E

mkuu huwe makini kabla ya kujibu.. huyu kijana kasema amesoma CO (clinical officer)
 
Maliza basi C.O kwanza mkuu,

Vipo viiingi na kibongo bongo,daktari ni daktari tu awe wa MUHAS Au KIU,

Karibu
 
Back
Top Bottom