Binafsi ufundi ninao ila nahitaji vyeti maana kuna sehemu kama viwandan, migodini na site za Selikali inatakiwa vyeti ndio unapenya kiwepesi mm ni fundi Wa RangiNakushauli uende kwa mafundi wa mtaani ni vizuri sana na utapata maarifa zaidi ya ungeenda huko veta