prenge JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 219 Reaction score 283 Aug 23, 2026 #1 Wale wajuvi wa mambo naomba msaada kama kuna chuo rasmi kama ilivyo kwa fani zingine zinazotolewa VETA.
Wale wajuvi wa mambo naomba msaada kama kuna chuo rasmi kama ilivyo kwa fani zingine zinazotolewa VETA.
lyalya JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 608 Reaction score 569 Aug 23, 2026 #2 Nakushauli uende kwa mafundi wa mtaani ni vizuri sana na utapata maarifa zaidi ya ungeenda huko veta
M Mtu wa Mara JF-Expert Member Joined Apr 10, 2026 Posts 599 Reaction score 1,233 Aug 23, 2026 #3 lyalya said: Nakushauli uende kwa mafundi wa mtaani ni vizuri sana na utapata maarifa zaidi ya ungeenda huko veta Click to expand... Binafsi ufundi ninao ila nahitaji vyeti maana kuna sehemu kama viwandan, migodini na site za Selikali inatakiwa vyeti ndio unapenya kiwepesi mm ni fundi Wa Rangi
lyalya said: Nakushauli uende kwa mafundi wa mtaani ni vizuri sana na utapata maarifa zaidi ya ungeenda huko veta Click to expand... Binafsi ufundi ninao ila nahitaji vyeti maana kuna sehemu kama viwandan, migodini na site za Selikali inatakiwa vyeti ndio unapenya kiwepesi mm ni fundi Wa Rangi