Chuo hiki kinafaa?naombeni msaada wataalam.

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
856
Reaction score
145
Jamani wasomi hamjambo?Nataka nimpeleke mdogo wangu MUSOMA UTALII COLLEGE TAWI LA TABORA.JE Hivi vyuo visivyo na majina makubwa vinafaa?Vp wakati wa kutafuta ajira atatambulika kama msomi?Nimewauliza wameniambia wamesajiliwa kwa REG no .VTC/C.30/816
MSAADA JAMANI...nimpeleke au niache?
 
Hicho chuo anaenda kukinunua ama kusoma tu? Jina la chuo haliuzi mtu ndugu yangu, kupata mafanikio kwenye ajira itategemea uelewa wake wa mambo na jinsi atakavyojiuza sokoni. As long as chuo kimesajiliwa na atapata cheti halali, sijaona tatizo.
 
Kama kimesajiliwa,wasiwasi wako uko wapi?
 
Hicho chuo anaenda kukinunua ama kusoma tu? Jina la chuo haliuzi mtu ndugu yangu, kupata mafanikio kwenye ajira itategemea uelewa wake wa mambo na jinsi atakavyojiuza sokoni. As long as chuo kimesajiliwa na atapata cheti halali, sijaona tatizo.

Hapo umenena. Watanzania wanatakiwa kufahamu kuwa kuna mamlaka(mf. NACTE,TCU) zinazosimamia viwango/ubora wa elimu itolewayo na taasisi mbalimbali kwa vigezo vilivyowekwa na serikali. Hivyo kama chuo kimesajiliwa maana yake kimekidhi vigezo.
 
Hicho chuo anaenda kukinunua ama kusoma tu? Jina la chuo haliuzi mtu ndugu yangu, kupata mafanikio kwenye ajira itategemea uelewa wake wa mambo na jinsi atakavyojiuza sokoni. As long as chuo kimesajiliwa na atapata cheti halali, sijaona tatizo.

asante king'ast wangu...umenifumbua macho.NDIO MANA NIMEKUJA JUKWAANI KWANI NDIO MSAADA PEKEE NILIONAO.KUNA WATU WALINIAMBIA HAKIFAI KABISAA BILA HATA SABABU ZA MSINGI.
 
Back
Top Bottom