A
Anonymous
Guest
Katika semester ya pili, Chuo Kikuu cha Ardhi kilichelewa kutoa majina ya wanafunzi wanaoruhusiwa kufanya mitihani.
Siku ya mtihani asubuhi, mwanafunzi alitakiwa kuchukua kitambulisho ndipo aruhusiwe kuingia kufanya mtihani. Baadhi ya wanafunzi walikosa kufanya mitihani baada ya kuambiwa hawajakidhi vigezo.
Walipofuatilia, waliambiwa ni suala la ada. Mwanangu alilipa ada na kuonyesha ujumbe wa malipo, lakini akaambiwa fedha hazijaingia kwenye mfumo.
Walipowasiliana na Airtel, waliambiwa fedha zipo hewani lakini hazijaingia Ardhi. Wanafunzi hao waliambiwa watafanya mitihani maalumu (special), lakini hadi Jumamosi (Oktoba 24, 2026) wanazungushwa, huku mitihani ikiwa ni Jumatatu Oktoba 26, 2026. Kila wanapofuatilia, wanaambiwa mfumo unasumbua.